blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
πππππππππWatanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππππWatanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....
tisha sana akili kubwa,Akili yako ndogo ulifikiri Ndugulile atakuwa mbunge wa kigamboni?,ni Makonda tu,stay tuned
ππππππππMakonda ndio mbunge wa kigamboni ajaye,hutaki acha
ππππππππtisha sana akili kubwa,
Mdogo wake sheikh yahayaMakonda ndio mbunge wa kigamboni ajaye,hutaki acha
Makonda atapitishwa na kamati! Jiandae kisaikolojia
Kama ni hivyo ni vizuri amkumbuke!! Amsemee vizuri!!Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Chanzo: TBC
Maendeleo hayana vyama!
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Chanzo: TBC
Maendeleo hayana vyama!
Haya lisu anafaa kuwa rais wa jmt,furahi basi!!!Watanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....
Ongeza sauti mkuu....Makonda ndio mbunge wa kigamboni ajaye,hutaki acha
Maisha yanaendeleaje huko Paris?Tuleteeni makonda kigamboni iwe km Paris
Nyie wajumbe wa jf msituletee uchawi,
Naamin kamati kuu ndo kila kitu na watatuletea mtu wetu,
Kigamboni itawaka moto,
Vipi amekuwa mbunge wa familia yako?Akili yako ndogo ulifikiri Ndugulile atakuwa mbunge wa kigamboni?,ni Makonda tu,stay tuned
Wewe ni kilaza kama vilaza wenzio wa CCMMakonda ndio mbunge wa kigamboni ajaye,hutaki acha
Wewe sukule unasemajee?Makonda atapitishwa na kamati! Jiandae kisaikolojia