Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "

Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.

Chanzo: TBC

Maendeleo hayana vyama!
Kama ni hivyo ni vizuri amkumbuke!! Amsemee vizuri!!
 
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "

Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.

Chanzo: TBC

Maendeleo hayana vyama!

Kwahiyo mama Samia nae aseme BASHITE anafaa kuwa VICE President? Amuache tu Bashite awe anakwenda kula ubwabwa nyumbani kwake, mambo ya serikali Bashite kisha yanyea; mama asije kujipaka kinyesi bure!!!
 
Back
Top Bottom