Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

It'll be great. Lakini hapo kwa Qatar Airlines mkuu, hebu itoe kwa hiyo list kwanza. Tu deal na Afrika kwanza kabla tupambane na wale jamaa wa kanzu nyeupe! 🤣
 
Wewe mwenyewe hapo ulipo, hivi waweza wekeza nini huku KE, wakati huna hela, wacha wakina dagotee waongee hivyo sio wewe!
Mimi sio gum sniffer kama wewe burukenge wa lower Karen...

Sema kuna fursa gani hapo zakuvutia wawekezaji kutoka Bongo? Hata kazi za maana huko zipo?

Huku bongo nahudumiwa na barmaids wengi from kenya na wabadilisha diapers kwa shule za watoto ni kenyans... Ndio hao wanaleta remittance huko?
 
naona wakenya wanarudi tena kwenye migodi. Tanzanite inakuja kuibiwa tena
Tanzanite yenu hata haina pesa. Mnapenda kujipiga kifua na vitu vya ujinga. Gold ndio kitu kinacholetea Tanzania pesa. Mlitengeza almost $3 billion mwaka uliopita kupitia dhahabu. Tanzanite ni upuuzi tu. Hampati pesa yoyote pale.
 
Mpaka umeniquote mara mbili, kweli mnaumia, halafu naona mama kachaguliwa 100% ndani ya chama.....poleni "gang"
A very stupid comment as usual. Yaani kabla hata Mhe. Samia.hajatua Kenya na kufanya mkutano tayari arrogance imeanza from an arrogant and stupid Kenyan!!! You people you don't learn.. Yaani hata akili huna kujua watu wa Mhe Mama Samia wako wanaofustilia public opinion kwenye Social media na mainstream media....Yaani unataka kuharibu kile kilichopangwa kujadiliwa.....very stupid..
....
 

Hehehe mataga naelewa kiini cha hasira zote hizi, na mtakoma mlizoea kulelewa.
 
kaa kwa kutulia... hakuna kubana bana tena. Mama mwenyewe ameridhia. tarehe 04/05 anakuja mzima mzima kuja kuachia. kitakochofuata ni sisi kumimina magoli
 
Very stupid...wait and watch the coming saga...
Wacha kuita watu stupid. Wewe ndio unajiona genius sana? Utakuwa una IQ ya kuku na upo hapa ukitukana watu.
 
kaa kwa kutulia... hakuna kubana bana tena. Mama mwenyewe ameridhia. tarehe 04/05 anakuja mzima mzima kuja kuachia. kitakochofuata ni sisi kumimina magoli
Jidanganye wanaoruhusiwa ni wawekezaji walioserious.serikali ipo makini kulinda maliasili za Watanzania mama ni new version ya magufuli.
 
Hata magufuli mwenyewe alikuja kenya mwanzoni mwa utawala wake.
 
Yaani nyie huwa mnachekesha na kutia huruma, tumewazidi kuwekeza hata hapo DRC ambao hatuchangii mpaka nao, yaani mpo mpo tu....
Mama ana nia njema ila nyie ni wale wale sijui kama kuna namna atabadilisha muache huo uwoga uwoga na uzembe.
Kweli nyie nyang'au

Yani mnatutukana raia halafu mnaleta unafiki kumkaribisha rais wetu

Shwain

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
mkuu, Kenya ina makampuni 529 ndani ya Tanzania, against Tanzania's 23 ndani ya Kenya kufikia mwaka 2016.
I hope you know what I mean.
Ulitaka Tanzania ije kuwekeza nini kwenye desert? Chakula tunachowalisha Kenya yote ni uwekezaji tosha kabisa
 
Hahaha hivi unazijua hizo companies zenye utambulisho wa Kenya au unabwatuka tu?


Unilever
Barclays
Aga Knan
Jubilee insurance
Standard Chartered
EA Breweries
Diamond TB
Nestel
Etc

Hizi ni International companies kubwa, sio kwamba ni mkikuyu au luo hapo 😅😅😅
 
Najua Suluhu amelazimika kuja Kenya after bidhaa karibu Zote za TZ kupigwa Ban,inchi imefilisika na wakulima waTZ wanateta pamoja na Makampuni zao zinaenda losses.Msiwai Dharau Sisi Wakenya,🇰🇪We are the Customers,respect us
Tunawalisha 100% na uchumi wenu wa makaratasi na mikopo
 
Shida ya Kenya ni dishonesty! Kumwamini Mkenya inahitaji moyo wa chuma. Kama hata JPM aliingizwa chaka na best wake -!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Honorary Tanzanian
Tunawajua bana....sitegemei mama ataendelea kuwadumisha nyie watu wa buku saba maana yeye haonyeshi kuishi kwa misifa.
 
Umesahau Equity, KCB.
Hizo pia ni international?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…