Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!Hii serekali iliyofitinika imekubuhu kwa uongo. Kama Rais ni mzima ajitokeze watu wamuone kwani ugumu hapo uko wapi? Wanachofanya ni kudanganya wapumbavu wachache ambao hawajui kuhoji na ambao hawawezi kutenganisha kati ya ukweli na uongo.
Yap! Yanafanyina pia mambo ya faraga maana kuna mgombea wao amekimbilia kwa amsterdam alisema wakimchagua hata wabughudhi kwenye hayo mambo yao ya faraghaHalafu inabikiri
Ulienda ukamkosa?Anapofanyia uzinduzi, anapoapishia mtu, anapokagulia miradi, anapoteulia mtu.. etc sasa huko kote hayupo
Kwani leo Kuna mtu anambughudhi mwenzake kwenye Mambo ya faragha?Yap! Yanafanyina pia mambo ya faraga maana kuna mgombea wao amekimbilia kwa amsterdam alisema wakimchagua hata wabughudhi kwenye hayo mambo yao ya faragha
Tuwaulize mabavicha, ilikuwaje mpka mgombea wao akawahakikishia kwamba wakimchagua atawaacha wavinjari tu, hawatabughudhiwa?Kwani leo Kuna mtu anambughudhi mwenzake kwenye Mambo ya faragha?
"Kipindi hiki tunahitaji mshikamano kuliko kipindi chochote"Behaviourist chapa kazi Broo
Acha kuombea watu kifo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe na genge lako mnajisikiaje kupata taarifa hii??
Hahahahha wewe ndo yule unayepiga kelele " yupooo yuuupo" halafu unageuka unauliza chini chini " hivi kweli yuko wapi?" Na wenzio hawajui pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!
Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?
Kwani lini hao watu walibugudhiwa nchi hii.Tuwaulize mabavicha, ilikuwaje mpka mgombea wao akawahakikishia kwamba wakimchagua atawaacha wavinjari tu, hawatabughudhiwa?
"Kipindi hiki tunahitaji mshikamano kuliko kipindi chochote"Yap! Yanafanyina pia mambo ya faraga maana kuna mgombea wao amekimbilia kwa amsterdam alisema wakimchagua hata wabughudhi kwenye hayo mambo yao ya faragha
Yah.. Hiyo ni kawaida kabisa!"Kipindi hiki tunahitaji mshikamano kuliko kipindi chochote"
Ni kawaida kukaguliwa kaguliwa Mara mafua, mara kichwa "
Karibu kushikamana kipindi hiki ndugu
Weka clip ya audio au video tukuelewe zaidi!Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli
"Kabla ya kuwapongeza niwasalimie salam za Rais anawasalimia, anasema tuendelee tuchape kazi, kipindi hiki tushikane tujenge mshikamano, tujenge upendo, tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu"
Baada ya salam hizo Mama Samia amewapongeza kwa kuwa na kiwanda kwani ni mkombozi.
Pia soma > Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa
Kama walivyodhoofu wale walioenda kummiminia binadamu mwenzao risasi 36 halafu hajafariki, anadunda mpaka leo, Mungu hadhihakiwi, ninyi wakristo hubirini neno la kweli neno lililopo katika maandiko matakatifu.Kama nakuona hivi ulivyodhoofu baada ya kuona hii taarifa
Sasa ilkuwaje yule mbelgiji akawaambia bavicha wamchague tu yeye hana noma nao kwenye mambo yao ya faragha?Kwani lini hao watu walibugudhiwa nchi hii.
Lugola alisema wako salama.