Mama Samia una wabunge 90+% futa vyama vya upinzani

Akifuata vyama vya upinzani ,yafuatayo yatatokea;

...Hakutakuwa na uadui tena wa kisiasa wa nje ya CCM bali ndani ya CCM,

...Hakutakuwa na upinzani na uadui wa ndani ya nchi kisiasa bali uadui na upinzani utatoka nje ya nchi,

... Atopata ushirikiano wa kimataifa na atatengwa kiuchumi na kisiasa.

Ivyo CCM haina ubavu wa kuimili hayo yote,haitaki upinzani ni kweli, lakini haina uwezo wa kuufuta
 
Mahafidhina ya ccm yameishamwelekeza kibra
 
Wakifuta vyama vyingi hawatapewa misaada. Ndio maana wanataka vyama feki na wapinzani feki ili kuwadanganya mabeberu watoe pesa. Waafrika tunatia aibu sana.
 
Acha wamvuruge ili aishie 2025. Kuna watu wanamdanganya halafu yeye hajui
 
Kuliko kutumia kodi zetu kupeleka magari ya washa washa wafute vyama vya upinzani wabaki wenyewe ccm
 
Naung nawe katika hili.
 
Hana UJANJA huo UNADHANI NYERERE ilikuwa ni HIARI yake? Vyama vya Upinzani Vipo kwa Takwa la DUNIA MBONA MAGUFULI ALISHINDWA KUVIFUTA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mamax3! Kwanini haya na kwa faida ya nani???
 
Kweli asee
 
Kubwa jinga at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…