Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Akifuata vyama vya upinzani ,yafuatayo yatatokea;Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.
Najua unapita hapa kusoma thread.
...Hakutakuwa na uadui tena wa kisiasa wa nje ya CCM bali ndani ya CCM,
...Hakutakuwa na upinzani na uadui wa ndani ya nchi kisiasa bali uadui na upinzani utatoka nje ya nchi,
... Atopata ushirikiano wa kimataifa na atatengwa kiuchumi na kisiasa.
Ivyo CCM haina ubavu wa kuimili hayo yote,haitaki upinzani ni kweli, lakini haina uwezo wa kuufuta