Huyu ni mwingira ama?Kama utaendekeza falsafa yako ya Chura Kiziwi shauri yako!
View attachment 3349155
God bless Tundu Lissu
Abas Tarimba mbunge wa kinondoni anataka Lisu afe ili iwe kafara yake kwenye wizi wa kampuni zake za kubeti
Wabunge wa ccm jana wamesimama bungeni wakiongozwa na std 7 msukuma, Tarimba Abas na wenzao wajinga wajinga wakishabikia utekaji, kuwabaka waganda kuwapiga wageni kisa hawataki waje kumuona Lisu waliyemweka jela kwa njia haramu za kishetaniInasikitisha sana