mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 896
- 1,435
Wakuu habari.
Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka.
Naomba kujua
Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo.
Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa tumbo
Katika hali isiyo ya kawaida kanigongea dirishani ikiwa mlango wangu na wake viko karibu karibu sana tofauti na kwenda nyuma ya nyumba kugonga dilisha alikuwa anaweza kugonga mlango ni rahisi zaidi.
Sikuona ishu sana nilitulia kidogo baadae nikaamka akaja mlangoni nikampatia chumvi nikimwambia sukari nimemaliza.
Amekaribia mwezi tangu amepata chumba mahali hapa. Lakini sijawahi sikia kuhusu tatizo la mamaake tangu amefika.
Nimelifikilia ili suala sana.imekaaje hii wataalamu?
Ikumbukwe mchana wa siku hiyo nimemwaga maji ya baraka na upako ndani kwangu na nyumba yote kwa ujumla hii ni kiimani zaidi kumradhi.alafu usiku wa saa kumi mtu anakuja kuniomba chumvi na sukari.
Pengine chumvi inaweza kuwa dawa nzuri zaidi endapo ikichanganywa na sukari Kiimani kikemia hii imekaa vipi?tujuzane tupunguza gharama za matibabu kwa case za namna hii.coz hizi products ni cheap sana.