Mama wa jirani yangu ameniomba chumvi na sukari saa kumi usiku

Mix ya chimvi na sukari n dawa mujaribuuuu ya tumboo mkuu
 
TAFUTA MAFUTA YA DUA OIL MADUKA YA TIBA ASILI JIPAKE SIKU SABA NA MMIMINIA MLANGON MNAPOINGILIA NA DIRISHAN KWAKO
 
Ukiogopa sanaaa chxukua mkojo wako wa asbh chukua karatasi andika jina lake kama walijua ingiza kwa mkojoo sema neno kama alitaka kjkudhuru imrudie tikisa mara 7 nikokwa wakala nasubiri majibu

Ukimaliza jipake mwili mzima isiguse kichwa usijifute mpaka ukaukie mwilini then kama unasafari kaogekawaida nenda

Tiba mujarabuuu
 
Mpe halafu usitutangazie. ndiyo mambo ya ujirani hayo.
 
Umri kati ya mika 15 na 20 ndio umri upi huo? Hii chai bila sukari.

Alitaka umkule kote kote huyo umeachia.
 
Sasa kama unaamini ktk hayo maji ya upako na mafuta hofu yako inatoka wp tena?
Mkuu hofu sina hiyo ni minor case...
Major issue n kutka kjua kwa namna gn chumv na sukar inakuw tiba y tumbo
 
Mpe, anataka kutengeneza oral ya kienyeji ya maji, chumvi na sukari anywe. Seems anaharisha tumbo linasumbua.

Shida ya watanzania kila kitu wamekihusisha na uchawi, ulozi, uganga. Nakumbuka miaka ya nyuma huko vijijini ulikua huwezi kusema chumvi dukani ama kwa jirani ukapewa ikishafika sa 1 ama jua kuzama. Eti useme dawa ya mboga😂.

Ulikua huwezi kuuziwa sindano ama wembe usiku, hadi asubuhi. Mambo ya ajabu kabisa.
 
Nikushauri kisayans au kishirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…