Boss ngoja nikukate kauli. Hakuna mwanamke mvumilivu kwenye ndoa Kama mwanamke wa kipare. Wanawake wa kichaga especially uchagani magharibi ndio wa kuogopwa wakiwa na pesa.Mzava aliteseka sana aisee mpare mwenzangu huyo😎 sipatii picha kama huyo mama nae alikuwa mpare wanawake wa kipare walivyo naviburi ujumlishe na kuwa ana pesa pia weee😇😇😇
Si ndomana wakiendaga kwa wenye helaHemu waza tu, watu wanaenda Moshi full tank; Ila Mzee Hana hela anaenda Omba mauzo?
Jaman wanawake wakiwa Na hela Ni wanyanyasaji Sana, Kama huna hela wewe ishi Man alone!
Hakuna mwanamke anayevumilia Fala asiye Na hela; Huyo alishakufa siku nyingi Sana; mwanaume = Hela
Kanuni rahisi sana inasema hivi "Ukiona sehemu kuna mchanganyiko kati ya mtoto wa kike na wa kiume,hapo hakuna usalama hata pawe wapi".Kanisani siku hizi sio sehemu salama sana kutafuta mchumba, ushahidi wengi uenda kutafuta mke au mme na sio kumtafuta Mungu,wakishapata mume au mke na kanisani mguu ukata.
Yuko jamaa yangu TANGA kipindi hicho Cha awamu zaukweli alimuona mkewe anaanza umalaya. Jamaa alimuambia mke, wewe si Malaya, ziingize pesa Mimi nitazitoa nje. Siku ya kwanza jamaa kalala kwa best wake asubuhi kaja kuoga,. Kubadili nguo na kuondoka kazini, siku ya pili hivyo hivyo. Haraka sana mwanamke aliitisha kikao Cha usuluhishi.Bora kuwa malaya tu mi nikijua mke wangu kashaanza umalaya nje ya ndoa nakuwa malaya mara 3 yake😅 na wala sijali huku naandaa exit plan tu au tunatengana tu kila mtu alale chumba chake wakati tuna co-parent!
Hahahahahahah kwa uvumilivu ni sahihi ila kwa kiburi pia ni sahihi!Boss ngoja nikukate kauli. Hakuna mwanamke mvumilivu kwenye ndoa Kama mwanamke wa kipare. Wanawake wa kichaga especially uchagani magharibi ndio wa kuogopwa wakiwa na pesa.
Umeshaona ndoa ya mwanamke wa kipare imevunjika halafu huyo mwanamke ndio kasababisha?
Ila Kama Ni ushauri wa kabila la kuoa. Mshauri mtu Kama hawezi kuoa kabila lake,. Basi aoe mpare au msukuma. Vinginevyo stick to your lane.Hahahahahahah kwa uvumilivu ni sahihi ila kwa kiburi pia ni sahihi!
Yapo majini ya kutengeneza pia.Jini ukufanyia Kazi uitakayo kwa malipo ya akitakacho jini.Hakuna Mwanadamu anaye weza kumtuma Jini bali waganga wanawategemea majini katika shughuli zao.
Kuwafarakanisha mke na mume wake ni katika aina ya uchawi ambao majini waliwafundisha watu na majini wenyewe huwa wanafanya wenyewe.
Hahahahah sema yote ya yote wasambaa ni kama Suzuki 😅 ya mke!Ila Kama Ni ushauri wa kabila la kuoa. Mshauri mtu Kama hawezi kuoa kabila lake,. Basi aoe mpare au msukuma. Vinginevyo stick to your lane.
Utakuta ushapigiwa sana lakini haujui tu, nimejaribu kuwaza tuMimi huyu mama watoto nilijiapia kabisa nikisikia kachepuka ama nikimfumania naondoka ma sehemu zake za siri na habari inaishia hapo maana hiyo nyama ndio inawapa jeuri, basi naichana chana iwe na muonekano mbaya zaidi ila ndio hivyo kawa mwema kwangu hadi umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu
Huyu jamaa namfahamu, ni mjasiriamali mzuri sana, kitimoto yake tamu balaa, mke mzuri sana lakini ndio basi tena shetani kamkamata, yameisha hapoWana JF,
Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.
Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.
Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.
Mama anaitwa Irene Mzava, aliamishwa kutoka TRA temeke, akaletwa Tegeta. Wanyetishaji wanadai, waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho, baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getin na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.
Mkuu sikupingi. Kuna mama mmoja kwenye ukoo wetu ni mstaafu TRA na alikuwa kigogo, mdogo wake alifanya kazi NGO kubwa na alikuwa kigogo. Hawa walisumbua sana na hata wadogo zao wa kike wote wameachika ndoa zao sababu ya dada zao. Dada ana michepuko kila kona, kamsumbua mume mpaka wakaachana kwa amani, watoto analea kimagharibi, ana marioo kama wote. Wakawa wanashindana kuwaita wadogo zao walioolewa waje kuwatembelea. Wadogo wenyewe hawakusoma na waume zao hawana maisha kivile, mwishoni kabaki mmoja kwenye ndoa naye mumewe kawekwa kiganjani.
Nikweli Usemacho Mama...Mambo mengi ya nini mtu umeshaona hakuthamini sepa habari ya kuanza kujitia nuksi kisa mbususu inahusu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuta jamaa alikuwa anaingiza hela mara kumi ya mshahara wa huyo dada ila Wabongo walivyo weupe wanafikiri kila mtu TRA anapata mshahara wa ajabu kumbe kawaida tu. Mkisikia TRA au banker mnafikri kodi zote au zile bank deposits ni zao.Dah matusi haya 😅
Sema tu wanawake huwa hamjui kubalance mapenzi yenu. Mwanaume ukimsikiliza mbona mnaenda sawa tu ila shida ni pale mnaanzaga umalaya na dharau kisa una mshahara mkubwa na mapesa.
Jamaa itakuwa aligundua mkewe anachit na alishaanza kumletea madharau yani..Anyways naskia wanawake wa huko TRA wanaliwa sana na wafanyabiashara wakubwa kubwa wale.
Savage[emoji23][emoji23][emoji23] JF watu hamna huruma hamkwepeshiUtakuta ushapigiwa sana lakini haujui tu, nimejaribu kuwaza tu
Kweli kabisa wake wakisambaa Ni Suzuki, not comfortable but very very durable. Ukinunua umenunua.Hahahahah sema yote ya yote wasambaa ni kama Suzuki 😅 ya mke!
Msukuma ni kama Toyota.
Hahahahahah wanadumu sanaKweli kabisa wake wakisambaa Ni Suzuki, not comfortable but very very durable. Ukinunua umenunua.
Wafanyakazi wa bank ndio wanatia huruma hasa wale wa madirishani😅 ukimuona alivyoulambia unaweza sema jamaa ana hela kinyama😅!Unaweza kuta jamaa alikuwa anaingiza hela mara kumi ya mshahara wa huyo dada ila Wabongo walivyo weupe wanafikiri kila mtu TRA anapata mshahara wa ajabu kumbe kawaida tu. Mkisikia TRA au banker mnafikri kodi zote au zile bank deposits ni zao.
Kweli kabisa.., kuna jamaa juzi alikuwa analinganisha pesa na hekima nikamwambia ulimwengu wa leo utakushangaza sana 😅 hakuniamini!Pesa uleta matatizo mengi Sana kwenye ndoa ikipungua au ikiongezeka.
Filisika ujue tabia ya mkeo,subiri mume apate pesa ujue tabia yake kama alikuwa mshinda nyumbani ashindi home yupo bize,
Nguvu ya mwanaume ipo kwenye pesa kwa ulimwengu wa Sasa,ambapo thamani ya mtu ni pesa,huna pesa sahau kuhusu upendo, marafiki,undugu.
Ni watu wawili tu duniani hawatokuacha ukiwa huna pesa,ambao nao tukiwa na pesa tunawasahu,Yesu Kristo na mama yako mzazi wengine wote uvutwa kwako na kile watakachopata toka kwako.