Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.

Mama anaitwa Irene Mzava, aliamishwa kutoka TRA temeke, akaletwa Tegeta. Wanyetishaji wanadai, waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho, baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getin na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.

Hemu waza tu, watu wanaenda Moshi full tank; Ila Mzee Hana hela anaenda Omba mauzo?

Jaman wanawake wakiwa Na hela Ni wanyanyasaji Sana, Kama huna hela wewe ishi Man alone!

Hakuna mwanamke anayevumilia Fala asiye Na hela; Huyo alishakufa siku nyingi Sana; mwanaume = Hela
 
Katika Taswira ya Kidunia ...

Mkuu kadiri unavyotenda maovu, ndio ambavyo unafupisha siku zako za uhai.

Yaan kama ilitakiwa uishi miaka 95.

Unaishi miaka 40 tu.

Wakati mtenda MEMA, anaendelea kula miaka mpaka 90 huko

Katika Taswira ya Kiroho....

MTU mwovu akifa, hana nafasi tena ya uzima wa pili...yeye atasubiri Adhabu ya moto tu.

Mwema akikata upepo Leo, anayo nafasi ya kuishi milele katika uzima wa pili.
Yesu alitenda mema mbona alikufa below 40.

Shetani anatenda mema mbona Hadi Sasa hafi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hemu waza tu, watu wanaenda Moshi full tank; Ila Mzee Hana hela anaenda Omba mauzo?

Jaman wanawake wakiwa Na hela Ni wanyanyasaji Sana, Kama huna hela wewe ishi Man alone!

Hakuna mwanamke anayevumilia Fala asiye Na hela; Huyo alishakufa siku nyingi Sana; mwanaume = Hela

Huu ndio ukweli wanawake wanatakiwa wajue mwanaume atasamehe dhambi zote lkn sio kusalitiwa
Kusalitiwa ni sawa na kuvunjiwa heshima, ukimsamehe mwanamke alikusaliti lazima atarudia tu
 
Sana sana sana, hasa kipindi cha yule mzee cheupe dawa mvaa miwani, ni sodoma na gomorah TRA

Nina jirani yangu dada yako wa kipare, si utani ana hekalu, ila bro ni mkorofi kuliko da mange! Alipohamia nilimwangalia na kudai atapatikana tu, nilimchapa matako kwa mikono usiku kucha kwenye local pub yetu, aise anamuendesha mme wake ile mbaya, jamaa ni Marine Engineer aliyebobea mpaka kuitwa Dr ila kwa dada wa kipare hafurukuti kabisa, na sisi majirani wa kiume hayatuhusu, mme ni kutoka Tanga, yuko peace ile mbaya pamoja na senti alizonazo, ila thats life bro
Hahahahahah kwahio uliishi nae😅 dhambi mkuu!!! Hao watu ni dada zangu ila kwamie hapana😅
 
Mimi huyu mama watoto nilijiapia kabisa nikisikia kachepuka ama nikimfumania naondoka ma sehemu zake za siri na habari inaishia hapo maana hiyo nyama ndio inawapa jeuri, basi naichana chana iwe na muonekano mbaya zaidi ila ndio hivyo kawa mwema kwangu hadi umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu
Umshukuru Mungu kama hakuliwa au aliliwa alikulindia heshima yako shukuru ukweli ni huu hata ungejua usingefanya chochote
 
Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.

Mama anaitwa Irene Mzava, aliamishwa kutoka TRA temeke, akaletwa Tegeta. Wanyetishaji wanadai, waliandaa safari kwenda Moshi saa tisa. Lakini safari ikageuka shubiti, baba anaonekana alimpiga na kitu kizito ikawa ndio mwisho, baba akaenda baa akawaomba wahudumu wampatie mauzo ili apelekwe mgonjwa hospital, basi akafika getin na kutelekeza gari, akaingia ndani katoa gari jipya aina Toyota Harrier new model 2015 inaitwa matako ya nyani, gari ilikuwa full tank kwa ajiri ya safari na imepakia vitu, baada ya mauaji akaipiga mogul mpaka Moshi inawezekana alifika saa 11, akaitelekeza gari mpya na kutokomea. Yeye na mke wake ni majuzi walitoka kwenye msiba wa mama wa mauaji. R.i.P Mama Irene Mzava.
Huyu mama si yule aliyekuwa na majibu ya hovyo hapo TRA Kibo? Kaunta ya upande wa pili wa main office?
 
Nawe uwe shahidi
 
Utengano wa mda unaruhusiwa pale amani inapokuwa imetoweka nyumbani waweza kaa mbalimbali kwa muda ili kujipa mda wa kutafakari ktk maisha ya mwanadamu kuna kipindi cha ukengeuko yaani shetani kuitawala ndoa.Shetan akishaondoka mnarudiana maisha yanaendelea kwa faida ya watoto.
Hata wengi baada ya kutengana wakifika utu uzima ujutia Sana maamuzi yao sema ndo hivyo KILA mmoja unakuta tayari ana maisha yake.
Furaha ya ndoa ni kwenye utu uzima ndo utaona umuhimu wake.
 
Ukitaka kuishi vizuri na hawa wadada , inabidi uwe nao wengi zaidi ya 20, wazuri wa shape nzuri. wengi wawe ni malaya wanajiuza, ukitoka kulala naye jamaa mwingine akichukuwa mzigo uone kawaida bila wivu, ukidumu nao miezi kadhaa kwenye mazingira hayo hutaweza kuwa na wivu wa kijinga utamwona mwanamke Kama chombo Cha starehe kwa kila mwanaume, mwanzoni utoana kinyaa jamaa anaenda kupiga na wewe uende kupiga shimo hilo hilo, lakini baadaye itakujengea immunity furani ya kutokuwa na mapenzi ya kweli na mwanamke yeyote hata mke wako utamwona ni wale wale tu, hivyo ukimwona mke wako au ukihisi anapigwa nje ni rahisi kumwacha bila kutoa uhai wake maana utaona ni wale wale hana tofauti na wanaojiuza. Na Sasa hivi wake za watu ndo wanaongoza kutoa uchi na wengine kujiuza. Na hawana neno hapana. Hivyo sasa hivi kuoa ni very big risk ya kupoteza maisha kwa ugonjwa, kuuwa, kuwa kilema kwa kupigana au kwenda jera kwa kuuwa mwenzi wako.
Ndo maana matajiri karibu wote duniani wakubwa top 10 hawana wanawake walishaachaana nao. Including Jeff Bezos no.1, Bill Gate, etc.
Best comment with best contents ..agreed 100%
 
Sio kweli. Kuna kina felician kabuga walioagiza makontena ya mapanga kwa akili ya mauaji ya watutsi rwanda.. wana roho mbaya mpaka shetani wanaogopa. Ila mpaka leo wapo hai na miaka karibu 100
🤣🤣🤣🤣
 
Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...

siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko

Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bladifakeni.
Mkuu wewe umeacha kuwala kimasihara [emoji3]
 
Dah matusi haya [emoji28]

Sema tu wanawake huwa hamjui kubalance mapenzi yenu. Mwanaume ukimsikiliza mbona mnaenda sawa tu ila shida ni pale mnaanzaga umalaya na dharau kisa una mshahara mkubwa na mapesa.

Jamaa itakuwa aligundua mkewe anachit na alishaanza kumletea madharau yani..Anyways naskia wanawake wa huko TRA wanaliwa sana na wafanyabiashara wakubwa kubwa wale.
Mwanaume asiye jiamini huwa ni janga haheshimiki habebeki hata ukimukosea jambo lolote lile la kibinadamu atajua unafanya makusudi kisa umemzidi kipato, hata ukicheka kwa furaha atajua una mudharau kisa umemzidi elimu au kipato
 
True mkiwa watu wa maombi shetani hawezi wavuruga.
Nilicheck ushuhuda wa mganga mstaafu alisema walikuwa wakiyatuma majini yakafarakanishe ndoa moja linaingia kwa mme jingine mke kisha wanayagombanisha ugomvi unalipuka kwa kitu kidogo tu kitokeacho mapigano,ulemavu,vifo,nk then yakishaondoka wahusika ujutia.
Shetani ataki kabisa ndoa
Hakuna Mwanadamu anaye weza kumtuma Jini bali waganga wanawategemea majini katika shughuli zao.

Kuwafarakanisha mke na mume wake ni katika aina ya uchawi ambao majini waliwafundisha watu na majini wenyewe huwa wanafanya wenyewe.
 
Hahahaha hivi we mwanamama unacheza na nyege nini? Nyege ni kitu cha ajabu sana yani haina cha kushika neno wala nini mama mchungaji mwenyewe unaweza ukampandisha mizuka na ukamtafuna haswa!
Kwani mama mchungaji umeambiwa ndio amekabidhiwa ufunguo wa mbinguni? Kuna wamama wachungaji wengine makahaba tu hamna cha neno wala wazo. Huu mwili umeumbwa na Mungu na yeye hawezi kushindwa kuudhibiti

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom