Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Hakuna mwema 100% ndio maana wote tunakufa (mwili)...ila ukizidisha maovu ndio unazidi kupunguza muuda wa kuishi mbaya zaidi unakufa mpaka roho..
Siyo kweli kwamba ukizidisha maovu ndiyo muda wa kuishi unapongua. Je watoto wanaokufa wakiwa wadogo, au wengine same day wanapozaliwa wana maovu gani?
Itakuwa ni misinterpretation ya maandiko...
 
Unachosema sawa, ila kujiloweka mpaka unapata watoto 4 na wanawake tofauti nayo inataka moyo...ukipungua kidogo unahisi tayari, miwaya [emoji38]...kwa kifupi life halina formula maalumu, ni kumuomba Mungu tu atusaidie.
 
Haya mambo ya mwanamke kumwambia mwanaume,

'Kama ww mwanaume kweli nipige uone mbwa ww huna lolote kitandani kwanza sifuri'.

Ndo matokeo yake hayo
Wana kauli chafu Sana tena mbele ya watoto hasa ukiwa huna pesa,na kama huna Mungu tegemea kuishi jela.
Hawana filters za kuchuja kauli chafu.
Kauli chafu ndio chanzo cha vifo vya wanawake wengi sana.
 
Huko Kwenye madhabahu wanavuana sana chupi ogopa sana watu wa dini hakuna chakuzama Wala kudumbukia ni usanii tu dini ni vichaka vya watu kutimiza malengo yao
Walokole wale mademu wa maombi nimewala sana. Alafu wanapumzi balaa hata upake mkongo wanahimili show yakibabe usiku kucha. Wanakauli yao kwa show hii uliyonipa nitakua kilasiku nikizidiwa nakuja kwako.
 
Mwanamke asiye na busara anapotema sumu means kauli chafu kwa mume kama huna kizuio ukaruhusu Yale maneno machafu yaingie moyoni mwako umekwisha.Yeye akitema sumu kwake ujiona ni nafuu madhara ni kwa anaetemewa sumu.
Madhara ya sumu ya mwanamke
1.Riziki kupotea kabisa nyumbani, malaika akai kabisa kwenye kelele
2.Ndo chanzo cha kupungua kwa nguvu za kiume.
3.wanaume kuwa walevi
4.magonjwa ya moyo, kupooza,pressure nk sababu ya sonona au sikitiko
5.Wanaume kuzikimbia nyumba zao.
6.Upunguza uondoa upendo kabisa
7.Vurugu na magomvi yasiyoisha.
Hata biblia inasema ni bora uishi pekee yako jangwani kuliko kuishi na mwanamke mkorofi.
All in all ukimpata mtu wa nyota yako umepata dhahabu.
 
Unaongea with experience
 
Umeupiga mwingi sana hapa
 
Hayo yote ili tuweze kufanikiwa kabla ya kupata mwenza ni kumshirikisha Mungu tu, kuanzia kumpata mahusiano mpaka ndoa, hizo hatua zote ukimshirikisha Mungu umefaulu sana.
Bahati mbaya siku hizi hayo Magubeli yanashinda nyumba za ibada na kupretend kwamba ni mema

Subiri umvalishe Pete ya ndoa ndio utaona

Wahanga wengi siku hizi ni wanaume
 
Upatikanaji wa taarifa ndio umekuwa rahisi, zamani watu walikuwa wanauana zaidi kuliko sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…