Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Siyo kweli kwamba ukizidisha maovu ndiyo muda wa kuishi unapongua. Je watoto wanaokufa wakiwa wadogo, au wengine same day wanapozaliwa wana maovu gani?
Itakuwa ni misinterpretation ya maandiko...
watoto moja kwa moja mbinguni (ufalme wa mbinguni ni wao)...mnaohuzunika ni nyie watu wazima ila wao watoto wanakuwa wameenda sehemu nzuri sana... (Huu ni mtazamo tu wa Imani yangu...kuna Imani nyingine nyingi tofauti)
 
watoto moja kwa moja mbinguni (ufalme wa mbinguni ni wao)...mnaohuzunika ni nyie watu wazima ila wao watoto wanakuwa wameenda sehemu nzuri sana... (Huu ni mtazamo tu wa Imani yangu...kuna Imani nyingine nyingi tofauti)
Sasa hapo huo msemo una maana gani kama watoto wanakufa wadogo tena bila dhambi unless kama unaongelea mauti kwa maana nyingine
 
OOPS, I know the lady, RIP Irene Mmari. Tutakutana huko juu.
 
Mkuu kama ulikua haujui dhambi kuu ya walokole ni uzinzi na uasherati...amini kwamba...
 
Arusha mkuu - Njiro Container. Huko huko Njiro tena kuna mama kauliwa na houseboy/shambaboy. Hakika Mungu atunusuru na hili pepo la mauaji 😭 😒
 
Shida sio kupigiwa shida kupigiwa na ukajua yani mtu hajaribu hata kuficha.
Alafu mkute mkeo analiwa jicho🀣🀣🀣

Kuna mwana alimfumania msg mke wake akimsifia mwamba anavyompakua mtr
Sana tuuu

Mwana siku hiyo tulikesha naye bar chipolopolo
Pale,tulumpa makanselingi ya nguvu mwana alirudi nyumbani kwake kesho yake saa saba mchana akachukua vyake akasepaa mazima

Mwanamke hakuwa na la kusema
Mwanamke alipigwa ganzi tu

Hivi akiitisha kikao cha usuluhishi akiulizwa sababu ya mwanaume kumpiga chini ni nini mwanamke ataeleza nn!
Maana kama jicho ashaliwa sana

Ova
 
[emoji38][emoji38][emoji38] hata hao wajumbe wa kikao wanaweza mtembezea kichapo huyo manzi akiwaambia alikuwa anatoa jicho nje
 
Hadi babako anakupiga chini ukiwa huna hela? Manake umetaja watu wawili tu mamako na Yesu
 
Hii kauli ya mshahara wa dhambi ni mauti ina maana wema hawafi au?
naomba nijibu kwa ninavyoelewa. mshahara wa dhambi ni mauti. mauti inayotajwa hapo ni mauti ya pili yaani jehanum ya moto.

Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Ufunuo 21:8 SRUV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…