Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Shetani anakuchabo tu??? Ukishaingia nae kwa ndoa shetani anawatonya wajuba wanamuibukia na wanamla fresh tu na bwana asifiwe zake
Ukimshirikisha Mungu kila muda na kila wakati shetani haingii kabisa nyoyoni mwa mtu kabisa
 
Rip my sister
 
Hakuna anaezingatia ulichoandika wanawake wataendelea kuuawa tu
 
Yesu si alifufuka? Tena ndugu zetu Muslims wanaamini hakufa kabisa, alipaa.

Shetani sio mwanadamu, ni malaika aliyeasi...kifo cha mwili hakimuhusu kabisa.
Shetwani hawezi kufa kwa sababu hakuumbwa kwa udongo hata wa kumuua hayupo kwa kuwa naye ana mguvu sana
 
Ila Kama Ni ushauri wa kabila la kuoa. Mshauri mtu Kama hawezi kuoa kabila lake,. Basi aoe mpare au msukuma. Vinginevyo stick to your lane.
Kusema kweli wapare in general ni watu poa sana, pisi zao sasa...[emoji119]
 
mm nukishaachaga kupenda tangu nilipogundua,mapenzi hupofusha akili ya kupambana na maisha,hasa ukiwa na mke mwenye wenge,aise akili yako itajikita kupambania mapenzi na heshima.sinaga mapenzi kabisaaa sku hz,japo huwez kuta tumenuniana au kugombana ,ila tunachukuliana poa ,life linasonga. wanaume tusiendekeze mapenzi ,wanawake wakupenda walikuwa zamani hizo!!tupambane kuusaka utajiri!!
 
Inatisha mnoo... Dada mmoja nae kafanya hivyo huko wapi sijui... Kamuua mumewe kwa maji ya moto na petroli...

What is happening!??

Mauaji ya kwenye ndoa. Ukisoma majina unagundua ni ndoa za kikristo.

Ngumu sana kukuta majina ya kiislam wamechinjana kwenye ndoa
 
Mzava namjua ni mzee mmoja ambaye kama kavurugwa akili hivi. Kichwa chake kilikuwa na mambo mengi sana. Aliwahi kunipa lifti siku moja na gari lake van la kijerumani alidai amesihi ulaya na ana mambo mengi sema inaonekana maisha yalishamchanganya.

Na ile shughuli yake ya kuchinja nguruwe kila siku kushika damu hakuwa vizuri kichwani. Bingwa anauacha mji wake sasa sijui wanae itakuwaje. Kwa mzava wachaga wote wa sinza,Kijitonyama, utawakuta huko.
 
Mauaji ya kwenye ndoa. Ukisoma majina unagundua ni ndoa za kikristo.

Ngumu sana kukuta majina ya kiislam wamechinjana kwenye ndoa
Kwasababu ndoa za kiislam Zina pressure valve. (TALAKA)
ukiona yamekushinda unachukua kalamu ndani ya dkk mbili kila mtu kivyake.
Sasa wakristo Ni TIILL DEATH DO US PART.
inamaana ukioa au kuolewa na boya ujue lako Hilo. Kama gari la kirusi haliuziki
 
Dharau na kauli chafu ndo chanzo cha talaka au vifo vya wanawake wengi.
Silaha ya mwanamke ni mdomo mchafu
Mkuu heri ya mwaka mpya. Naona una uzoefu sana na haya mambo kama mimi. Ni kweli. Hasa Tanzania, hasa zama hizi za mtandao. Baadhi ya wanawake wamewekeza kwenye kauli chafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…