True ishu ya kipatoAnakuzidi kipato, anakudharau.
Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.
Mshahara wa Dhambi ni Mauti.
Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...
siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko
Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bladifakeni.
Mjuba kaona sio swala bora amfyeke fyeke tu akaliwe na funza huko kwa adabu maana kashindwa kuliwa na binadamu kwa adabu!Anakuzidi kipato, anakudharau.
Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.
Mshahara wa Dhambi ni Mauti.
Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...
siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko
Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bladifakeni.
Wana JF,
Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.
Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.
Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.
Kama ni Mke Piga chini, hapa hamna mjadala.Mtu akiliwa unaachana naye... kuua sio suluhu
Sema ataishi kwa kutangatanga sana.Mjuba kaona sio swala bora amfyeke fyeke tu akaliwe na funza huko kwa adabu maana kashindwa kuliwa na binadamu kwa adabu!
Hivi yule ni mume! Sio mpenz tu?Mauaji yapo toka zamani
Sema sahvi sim na mitandao ya kijami
Imefanya habari kupatikana kwa kasi
Sumbawanga huko kuna mme kamkata mke wake masikio kaondoka nayo
Ova
Kaondoka na sikio zote,mme alimwambia we si unajifanya husiki kamfyekaaa, jamaa kauzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mazuri aisee hii dunia ngumu sana.
Katika Taswira ya Kidunia ...
Mkuu kadiri unavyotenda maovu, ndio ambavyo unafupisha siku zako za uhai.
Yaan kama ilitakiwa uishi miaka 95.
Unaishi miaka 40 tu.
Wakati mtenda MEMA, anaendelea kula miaka mpaka 90 huko
Katika Taswira ya Kiroho....
MTU mwovu akifa, hana nafasi tena ya uzima wa pili...yeye atasubiri Adhabu ya moto tu.
Mwema akikata upepo Leo, anayo nafasi ya kuishi milele katika uzima wa pili.
Bado zamu yako, we si unajitambaga kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara. Endelea kutembea na wake za watuAnakuzidi kipato, anakudharau.
Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.
Mshahara wa Dhambi ni Mauti.
Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...
siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko
Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bladifakeni.
Sumbawanga mme naye
MmhM naweza msinielewe
Kama una mpango wa KUOA sasa..
Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..
Itazame kwenye Engo ya Maadili
Itazame kwenye Engo ya Ushetani.
Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.
Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.
ni Mara mia, Kuzalisha ,uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.
Kwa Dunia ya sasa tulonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.
UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.
achana na minyama minyama hiyo ,mihips ,mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama , mihips .
True mkiwa watu wa maombi shetani hawezi wavuruga.Hayo yote ili tuweze kufanikiwa kabla ya kupata mwenza ni kumshirikisha Mungu tu,kuanzia kumpata mahusiano mpaka ndoa izo hatua zote ukimshirikisha Mungu umefaulu sana
SAHV KUNA MENTALITY IMEJENGEKANakubaliana nawewe.
Kuna kosa kubwa hufanywa na sisi wanaume.
Unaona kabisa mwanamke hakupendi , nikm wee ndo unapambana kuyaweka mahusiano yenu.
PENZI HALITAKIWI KUA LA UPANDE MMOJA.
Kadiri unavyopambana kumuwin MWANAMKE atulie kwako, ndivo unavyowekeza ubongo wako, muda nahisia zako ,yaan unakua Addicted nahuyo Mwanamke.
Na bila wewe kujijua, subconscious mind yako inamtafasiri mwanamke huyo kua ndo chanzo cha FURAHA na maisha yako.
Kitakachokutokea siku ukijua anapigwa na WAHUNI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utafurahi na shoooo.
Usimweke mwanamke kichwan, wee muweke machoni mwako tu hapo basi.
Ukiwa naye enjoy..... Akiwa mbali, achana na mambo ya kumuwaza.
Miezi hii Kigoma hicho kimbunga ndio balaa! Wazee wa Mwandiga, Ujiji, Kazulamimba, Kakonko, balaa tupu!!Izi habari zinatisha,.huu mwaka unaisha vibaya sana Mauaji yamekua mengi.
Mungu uturehemu.
Evo.. point tupuuuKama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.
Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.
Huyooooooo...Yann malumbano ?? Akili yake.... Papuchi yake[emoji23][emoji23]
Wewe ukiletewaa, Vaa ndomu pigaaa pigaaa, arudi kwake , siku isonge.
Mausenge sengee ,ohoooo Baby siwez ishi bila wewe..ohoooo baby wee ni Moyo wangu, ohoooo baby weee nikila kitu kwangu ...mamaeeee zako.
Unayempenda, naye anampenda mwingine, mwingine naye anampenda mwingine ,naye ana mwingine.
Maneno kuntu sanaKama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.
Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.
Huyooooooo...Yann malumbano ?? Akili yake.... Papuchi yake[emoji23][emoji23]
Wewe ukiletewaa, Vaa ndomu pigaaa pigaaa, arudi kwake , siku isonge.
Mausenge sengee ,ohoooo Baby siwez ishi bila wewe..ohoooo baby wee ni Moyo wangu, ohoooo baby weee nikila kitu kwangu ...mamaeeee zako.
Unayempenda, naye anampenda mwingine, mwingine naye anampenda mwingine ,naye ana mwingine.
Huyu Joyce nae anatakiwa kukatwa kichwa.Joyce Kiria ni mropokaji tu, yeye alikuwepo kipindi huyo jamaa anakimbia ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpenzi, mbona umejampu tu konklusheni wakati hata stori haijakamilikaAnakuzidi kipato, anakudharau.