Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...

siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko

Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bladifakeni.
True ishu ya kipato
 
Mjuba kaona sio swala bora amfyeke fyeke tu akaliwe na funza huko kwa adabu maana kashindwa kuliwa na binadamu kwa adabu!
 
Wana JF,

Mama mmoja mke wa mzee maarufu wa Kiti Moto ya kwa Mzava, amekutwa amefariki na damu zimetapataa sakafuni. Haijulikani chanzo kilichopelekea kifo chake.

Baada ya kifo, mme hapatikani kwenye simu yake, gari la mme limekutwa limetelekezwa getini na halijafungwa. Huyu mama alikuwa mfanyakazi wa TRA Samora karibu na Salamander.

Mzava ni mtu maarufu kule Bunju kwa utaalam wa kupika kitimoto ambaye awali alikuwa wanafanya kiti moto Ubungo shekilango dagaadagaa.

Yani Mama TRA Mzee Mpishi wa kitimoto? Mauaji Ni Lazima!
 
Haya mambo ya mmoja jela mwingine mochwali siyo poa kabisa bora umwachie nyumba kaanze upya.
Watoto wakimtaka baba watamuona wakimtaka mama yupo watampata.
Kuliko hii ya mmoja jela na mwingine mochwali inaaribu kabisa future ya watoto.
 
Acha niwe bachela,sintooa maana HAKUNA machela anaekufa kwa mapenzi,mapenzi yanaua
 
Katika Taswira ya Kidunia ...

Mkuu kadiri unavyotenda maovu, ndio ambavyo unafupisha siku zako za uhai.

Yaan kama ilitakiwa uishi miaka 95.

Unaishi miaka 40 tu.

Wakati mtenda MEMA, anaendelea kula miaka mpaka 90 huko

Katika Taswira ya Kiroho....

MTU mwovu akifa, hana nafasi tena ya uzima wa pili...yeye atasubiri Adhabu ya moto tu.

Mwema akikata upepo Leo, anayo nafasi ya kuishi milele katika uzima wa pili.

Sio kweli. Kuna kina felician kabuga walioagiza makontena ya mapanga kwa akili ya mauaji ya watutsi rwanda.. wana roho mbaya mpaka shetani wanaogopa. Ila mpaka leo wapo hai na miaka karibu 100
 
Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...

siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko

Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bladifakeni.
Bado zamu yako, we si unajitambaga kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara. Endelea kutembea na wake za watu
 
M naweza msinielewe

Kama una mpango wa KUOA sasa..

Itazame Dunia Kwenye Engo ya Utandawazi ..

Itazame kwenye Engo ya Maadili

Itazame kwenye Engo ya Ushetani.

Itazame kwenye Engo ya Uchaji Mungu.

Alafu jiulize, HUYO UNAYETAKA KUMUOA, ANAHOFU NA MUNGU??? ATAFANYA NYUMBA YAKO IBARIKIWE ???.

ni Mara mia, Kuzalisha ,uwe na watoto wako hata wanne, wa wanawake tofauti..LAKINI SIO UBEBANE NA MFUPA ULOMSHINDA FISI.

Kwa Dunia ya sasa tulonayo, ambayo Suala la Uchaji Mungu linazidi kupotea, WATU hawana mpango na Mungu, WATU ni ushetani tuu.

UKIPATA KABINTI SIO KAZURI KWA SURA, WALA UMBO, LAKINI KANASWALI, KANASALI KWA MOYO WAKE WOTE, NA AKILI ZAKE ZOTE NA NGUVU ZAKE ZOTE ..KAOE CHAPCHAP.

achana na minyama minyama hiyo ,mihips ,mikalio, Ndoa sio mikalio, ndoa sio minyama , mihips .
Mmh
 
Hayo yote ili tuweze kufanikiwa kabla ya kupata mwenza ni kumshirikisha Mungu tu,kuanzia kumpata mahusiano mpaka ndoa izo hatua zote ukimshirikisha Mungu umefaulu sana
True mkiwa watu wa maombi shetani hawezi wavuruga.
Nilicheck ushuhuda wa mganga mstaafu alisema walikuwa wakiyatuma majini yakafarakanishe ndoa moja linaingia kwa mme jingine mke kisha wanayagombanisha ugomvi unalipuka kwa kitu kidogo tu kitokeacho mapigano,ulemavu,vifo,nk then yakishaondoka wahusika ujutia.
Shetani ataki kabisa ndoa
 
Nakubaliana nawewe.

Kuna kosa kubwa hufanywa na sisi wanaume.

Unaona kabisa mwanamke hakupendi , nikm wee ndo unapambana kuyaweka mahusiano yenu.

PENZI HALITAKIWI KUA LA UPANDE MMOJA.

Kadiri unavyopambana kumuwin MWANAMKE atulie kwako, ndivo unavyowekeza ubongo wako, muda nahisia zako ,yaan unakua Addicted nahuyo Mwanamke.

Na bila wewe kujijua, subconscious mind yako inamtafasiri mwanamke huyo kua ndo chanzo cha FURAHA na maisha yako.

Kitakachokutokea siku ukijua anapigwa na WAHUNI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utafurahi na shoooo.

Usimweke mwanamke kichwan, wee muweke machoni mwako tu hapo basi.

Ukiwa naye enjoy..... Akiwa mbali, achana na mambo ya kumuwaza.
SAHV KUNA MENTALITY IMEJENGEKA
KAMA HUNA KIPATO, PESA ETC HUWEZI ISHI NA MWANAMKE,
UTAKUTA WANAUME WANATUMIA NGUVU KUBWA YA PESA KUWA IMPRESS WAKE ZAO
WANAOISHI NAO HAPO SASA UTAKUTA MWANAMKE HATA UMPE NINI YEYE BADO HANA FEELINGS NA WEWE
SIKU MWANAUME UKISHTUKA KAMA UNA MOYO MWEPESI NDIYO UNAJIKUTA UNAFANYA MAMBO YA AJABU KWAKE

OVA
 
Kama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.

Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.

Huyooooooo...Yann malumbano ?? Akili yake.... Papuchi yake[emoji23][emoji23]

Wewe ukiletewaa, Vaa ndomu pigaaa pigaaa, arudi kwake , siku isonge.

Mausenge sengee ,ohoooo Baby siwez ishi bila wewe..ohoooo baby wee ni Moyo wangu, ohoooo baby weee nikila kitu kwangu ...mamaeeee zako.

Unayempenda, naye anampenda mwingine, mwingine naye anampenda mwingine ,naye ana mwingine.
Evo.. point tupuuu
 
Maneno kuntu sana
 
Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...

siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko

Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bladifakeni.
Mpenzi, mbona umejampu tu konklusheni wakati hata stori haijakamilika

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom