Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Mauaji ya kwenye ndoa. Ukisoma majina unagundua ni ndoa za kikristo.

Ngumu sana kukuta majina ya kiislam wamechinjana kwenye ndoa
Nafikiri ni sahihi. Zaidi ya 98% ni Ndoa za Kikristu. Kuna shida kubwa sana mahali.
 
Kwasababu ndoa za kiislam Zina pressure valve. (TALAKA)
ukiona yamekushinda unachukua kalamu ndani ya dkk mbili kila mtu kivyake.
Sasa wakristo Ni TIILL DEATH DO US PART.
inamaana ukioa au kuolewa na boya ujue lako Hilo. Kama gari la kirusi haliuziki
Na hiyo pressure valve inakuja na costs zake pia, usisahau. Wanandoa wanakuwa wanaishi maisha ya ki-mtego, kutokuaminiana sana, hasa wanawake. Unakuta wanawake wengi wanajaribu kuwekeza kwenye kujijenga kimaishi ´na kimahusiano nje ya ndoa kwa sababu wanajua wakati wowote wanaweza kuandikiwa karatasi.
 
Wanawake wengi kinachowaponza ni mdomo na majibu mepesi ya kashfa, na cha pili ni kutokutambua nafasi yake ndani ya nyumba kuwa nani kamuoa mwenzake,maana huwa inafikia mahali anaona kama yeye ndio kakuoa,hapo nyumba haiwezi kutawalika.Inakuwa hivi 'Ntakupiga-Nipige kama mwanaume kweli'...
 
Mkuu heri ya mwaka mpya. Naona una uzoefu sana na haya mambo kama mimi. Ni kweli. Hasa Tanzania, hasa zama hizi za mtandao. Baadhi ya wanawake wamewekeza kwenye kauli chafu.
Asante tumeuona.
Wengi wamejifunza kwa kucopy kwenye tamthilia,lengo kuu la tamthilia ni kubomoa familia.
Iwe director au wahusika wanajua direct au indirect lakini waandaji wa tamthilia wapo nyuma ya ajenda hii.
Tamthilia nyingi hazifunzi maadili ya familia zaidi ya kubomoa wanawake wengi hawana uwezo wa kuchuja kipi wachukue kipi waache nao ukipaste kwenye ndoa zao.Hapo ndipo crash uanza at the end KILA mmoja anatafuta njia yake kutafuta amani,lengo kuu watoto wakose direction.
Vibaka,mateja,machangudoa ni product ya ndoa zilizosambaratika.
 
Wanawake wengi kinachowaponza ni mdomo na majibu mepesi ya kashfa, na cha pili ni kutokutambua nafasi yake ndani ya nyumba kuwa nani kamuoa mwenzake,maana huwa inafikia mahali anaona kama yeye ndio kakuoa,hapo nyumba haiwezi kutawalika.Inakuwa hivi 'Ntakupiga-Nipige kama mwanaume kweli'...
Wanawake wakishaleta midomo sana, wanamme wanatafuta pressure valve ambayo Ni mchepuko. Mwanamme akishapata mchepuko na kutulia mwanamke anaanza kwenda kwa kina Mwamposa au Gwajima kuombewa ili ku reverse situation.
Wasikilize sana manabii wa uuongo huwa wanaombea sana ndoa.
NATOA MAPEPO KATIKA NDOA HII. KUMBE MAPEPO NI MKE MWENYEWE
 
Kuachana ni mbaya sana kunaathiri Sana watoto ila ni afadhali kuliko kuuana.
Lakini kama ulikosea kuoa utafanyaje? Maana sumu za wanawake ni hatari utakufa siku si zako.
Umeongea kitu cha msingi sana,kosa linaanzia kwenye aina ya mke uliemchagua,all in all wengi pale mwanzoni tunaoa kwa mihemko, hatumshirikishi Mungu kabisa, mwisho wa siku shetani anakuja kufanya yake baadaye...
 
Wanawake wengi kinachowaponza ni mdomo na majibu mepesi ya kashfa, na cha pili ni kutokutambua nafasi yake ndani ya nyumba kuwa nani kamuoa mwenzake,maana huwa inafikia mahali anaona kama yeye ndio kakuoa,hapo nyumba haiwezi kutawalika.Inakuwa hivi 'Ntakupiga-Nipige kama mwanaume kweli'...
Mala paa na kitu kizito,mama mzava chali!! Ndo hivyo !! Hasira hasara!!
 
Nakubaliana na wewe 100%. Mkewangu angekuwa peke yake kuna hatari yangenikuta kama unayoyasema. Lakini nikampandisha cheo akawa bi mkubwa na nikahakikisha kila rafiki yake wa karibu namla kwa gharama yeyote na juzi nimemla mdogo wake mmoja mtam balaa na nimefanikiwa mwenzenu sina hata stress kabisa. Kwa nini upate shida ya kutafuta kesi ya mauaji? Hapa nilipo najisikia nipo draw na yeye. Anafikiri ananizidi kumbe nimemzidi kila anachokifanya naambiwa matokeo kaniambia mimi mchawi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Khaa sasa hio ni ndoa mbona mnateseka wote wawili si muachane tu[emoji848]
 
Kama hujaoa , Weee kua nao wengi tu wakutosha ,na usiwapende kwa dhati.

Yaan usipende kiasi kwamba hata umkute analiwa nje hapo, Unajipitia zako kimya kimya.
Maisha hayapo kirahisi namna hiyo na hasa mioyo ya binaadamu haikuumbwa hivyo, imeumbwa na hisia.
 
Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...

siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko

Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bladifakeni.
Una ushahidi gani wa haya maneno...ss kama kakuzid kipato kosa la nani..we si mwanaume tafuta hela umzidi unalia lia nini....
Mnasomesha watoto w kike mnategemea siku zote wawe omba omba..ndo ishatokea hiyo kakuzidi..acha kuwa mnyonge tafuta kiyme umzidi...
Kuhusu kuchapiwa hilo huna uhakika...wanaume wengine hawachapiwi ila ni majeuri na makatili wa asili...ukute kaua ili arithi mali za mke..si mambo za mchepuko wala nn
 
Katika Taswira ya Kidunia ...

Mkuu kadiri unavyotenda maovu, ndio ambavyo unafupisha siku zako za uhai.

Yaan kama ilitakiwa uishi miaka 95.

Unaishi miaka 40 tu.

Wakati mtenda MEMA, anaendelea kula miaka mpaka 90 huko

Katika Taswira ya Kiroho....

MTU mwovu akifa, hana nafasi tena ya uzima wa pili...yeye atasubiri Adhabu ya moto tu.

Mwema akikata upepo Leo, anayo nafasi ya kuishi milele katika uzima wa pili.
Word
 
Nakubaliana na wewe 100%. Mkewangu angekuwa peke yake kuna hatari yangenikuta kama unayoyasema. Lakini nikampandisha cheo akawa bi mkubwa na nikahakikisha kila rafiki yake wa karibu namla kwa gharama yeyote na juzi nimemla mdogo wake mmoja mtam balaa na nimefanikiwa mwenzenu sina hata stress kabisa. Kwa nini upate shida ya kutafuta kesi ya mauaji? Hapa nilipo najisikia nipo draw na yeye. Anafikiri ananizidi kumbe nimemzidi kila anachokifanya naambiwa matokeo kaniambia mimi mchawi.😀😀😀😀😀
Wewe endelea na tabia hiyo siku utakayogeuziwa kibao usije kuua mtu. Pia ukumbuke siku utakayopeleka kwako huyo mdudu anayeitwa HIV usilalamike.
 
Una ushahidi gani wa haya maneno...ss kama kakuzid kipato kosa la nani..we si mwanaume tafuta hela umzidi unalia lia nini....
Mnasomesha watoto w kike mnategemea siku zote wawe omba omba..ndo ishatokea hiyo kakuzidi..acha kuwa mnyonge tafuta kiyme umzidi...
Kuhusu kuchapiwa hilo huna uhakika...wanaume wengine hawachapiwi ila ni majeuri na makatili wa asili...ukute kaua ili arithi mali za mke..si mambo za mchepuko wala nn
Hongera kwa kufikira nje ya box.
 
Anakuzidi kipato, anakudharau.

Mbaya zaidi Ananza kuliwa Ovyoovyo , kiasi cha wewe kujua kua analiwa.

Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

Kuliwa liweni, ila liweni kwa Staha basi...

siku hizi ni Utamaduni kua na Mchepuko/michepuko

Maisha ya naenda kasi sana, hiki kizazi cha FB ,IG, Twt, Tktok ,Badoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bladifakeni.
Kweli kabisa,, ila jamaa kachukua masmuzi mabovu sana , alikua na fundo moyoni mda mrefu,,, sijui kavuka mpaka tayari ? [emoji20][emoji20]
 
...
Na ile shughuli yake ya kuchinja nguruwe kila siku kushika damu hakuwa vizuri kichwani. Bingwa anauacha mji wake sasa sijui wanae itakuwaje. Kwa mzava wachaga wote wa sinza,Kijitonyama, utawakuta huko.
... na humo humo watakuwemo waliokuwa wanamvuruga mkewe!
 
Back
Top Bottom