Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

Kwahiyo kundi la magenius ni nyie mtoto akifa mnamuonea wivu??!!---kwahiyo mtoto wako akifa utalia kwa uchungu wa kufiwa au utamuonea wivu kwa kufa kwake??!!, ewe Genius hebu jibu hapo![emoji1787]
Very true ukitumia akili kubwa kabisa basi utagundua maisha ya hapa duniani ni upumbavu mkubwa sana ...ndiyo maana hata dini zikasema kutakuwa na maisha baada ya haya ya dunia ,ili hizo dini ziwe ma mantiki la sivyo mantiki ya dini isinge kuwepo kama zisinge toa hakikisho la maisha mapya nje ya haya ya duniani
 
Huna shukrani, si kwa mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni mwake na kukuzaa kwa uchungu mwingi, wala Muumba wako aliyekupa neema ya uhai na pumzi ya kuja kuandika ulichokiandika.

Malalamiko yako yote hayana maana. Mungu akuhurumie tu!
Aliomba azaliwe? Shukrani ya nini?
 

Umeongea kitu kikubwa mno baadhi hawataelewa
 


Wewe ndiye Genius ??!!--- huwezi kusema maisha ya hapa duniani ni upuuzi wakati maisha haya ndiyo hatua ya maisha mapya ya baadaye, hiyo ni sawa mtu aseme maisha katika mimba ni upuuzi huku akisema maisha ya duniani ndio yanayofaa.

Nakuuliza tena mtoto wako akifariki utalia na utasikitika au utamuonea wivu kwa kufariki??!!
 
asalaam aleykum ndugu yangu katika imani umetoa darasa kubwa sana mwenyezi mungu akuongezee elimu zaidi ya hii amin inshallah
 
Maisha ya baadae yapi? Kama ni ya peponi basi watoto wadogo wanaokufa wanaakika ya kuishi peponi maana wao awapimwi kwa dini fulani au madhehebu fulani na kama maisha ya jehanam basi je hayo ni maisha ya kupendeza ...kwa mujibu wa dini kuna aina mbili za maisha, nazo ni peponi au jehanam na yote hayo ni matokeo ya duniani ....ngoja nikuulize swali ? Je kama kuna maisha ya peponi wewe unafikili kati ya watoto wadogo walio kufa utotoni na watu wazima ni nani aliye na hakika ya peponi
Pia kasome vitabu vya dini kuhusu kuwa maisha ya duniani ni upuuzi utakuta hiyo hekima kwenye hivyo vitabu ....ndiyo maana kuna maandiko yanasema usipende sana dunia.
Pia kuhusu swali la kulia mtoto akifa ...kama wewe ni mkristo basi kumbuka yesu aliwakataza watu kumlilia sana yeye ...pia kama ni muislamu basi dini ya uislamu inawakataza watu kulilia sana marehemu unajua kwanini?
 
Daaaah imenibdi nicheke kwanza ila umetema cheche mzee
 
asalaam aleykum ndugu yangu katika imani umetoa darasa kubwa sana mwenyezi mungu akuongezee elimu zaidi ya hii amin inshallah
Wa'aleykum salam warahmatullahi wabarakatuh, aamin na wewe pia Mwenyezi Mungu akupe kheri zaidi ,uongofu zaidi na akuepushe na shari.
 
Hivi inakuaje unamtukana na kumdhalilisha mama yako hivyo?

Hata kama hatumfahamu lakini ni kumdhalilisha sana, umewahi hata kutafakari miezi aliyokubeba tumboni? Mapambano aliyopitia nawewe ukiwa na njaa, ukiumwa n.k

Aisee imefikia mahala vijana wanaandika vitu vya ajabu na aibu mpaka wanawashangaza wazazi wao.

Tubu.
 
Ukitaka kumiliki binadamu hakikisha ana hofu. Hili ndilo linalofanyika na wakusanya sadaka ili wawe daraja la kuwaepusha na moto.
Halafu wanakwambia usijishughulishe na mwili wako,maana mwili mpya utaenda kuupata huko mbinguni
 
Reactions: Tsh
Nategemea utakuwa na msimamo huo na hutaleta kiumbe duniani.
 
Mashallah! Swadakta.
 

Huyo kavuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…