Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenye kubeti umenikumbusha mbali
 
Khaaa yaani nasoma napata feelings kama mimi hivi
 
Mkeka wa elfu 20 mapema tu ukachanika. ukabaki wa mkeka wa pili wa elfu 10 ukabaki nao niliubettia team moja ya kwanza dakika 40 za kwanza tu teyali ilikuwa ishafungwa goal tatu.
ikabidi nizime simu mda uo jasho linanitoka ikabidi nizime simu nilale kwanza.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Ambao hawajawahi kupitia magumu hawataelewa, ubaya ukiingia kwako hata ukicheka unajing'ata ulimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…