Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Labda zamani siku hizi unampaje mwanafunzi akalipe Ada, nenda nae bank au kwa wakala mpe risiti apeleke shule
Wapo madogo mpaka leo hii wanapewa ada wanaenda kulipa ada wao wenyewe mkuu.

Ili swala la kula ada bado linaendelea mpka leo hii
 
Back
Top Bottom