Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Nakuona waziri wa elimu wa congo " mzee wa ajari kazini"Shabani kaoneka
Mtaalam Niko hapaNakuona waziri wa elimu wa congo " mzee wa ajari kazini"
😁😁😁 Kazi iendelee sema yule katibu wako hata nngekuwa mimi nisingemuacha acha wakulaumu 2Mtaalam Niko hapa
Midomo Yake ni uchawi tosha[emoji16][emoji16][emoji16] Kazi iendelee sema yule katibu wako hata nngekuwa mimi nisingemuacha acha wakulaumu 2
Ulisafiri? Maana sijaona tags siku nyingi
Nilikuwa nauguza mgonjwaUlisafiri? Maana sijaona tags siku nyingi
Chief asante nishatimba...
Midomo Yake ni uchawi tosha
Unamuachaje
Hana shida
Daaah asante sanaKwa hii speed ya konokono...huu uzushi utaisha miaka mitano ijayo!
Yaani Nipo hapa toka saa 11 umetoka episode moja tu...hata kama Sijui kutunga ila si kwa hiviDaaah asante sana
Hakuna kazi ngumu kama kuandika ndugu yangu nitajitahidi kwa siku nipost japo episode 2 inshallahYaani Nipo hapa toka saa 11 umetoka episode moja tu...hata kama Sijui kutunga ila si kwa hivi
Kwa hiyo usiku huu tutarajie kitu?Hakuna kazi ngumu kama kuandika ndugu yangu nitajitahidi kwa siku nipost japo episode 2 inshallah