Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie peke yangu ee😂ila maisha haya jamani🤦♀️....au basi niishie hapo
kuna watu wanapitia magumu,,,,mama huyo dogo Naa anaona bora kutoroka home akaolewe sio jambo dogo hilo ujue🤦♀️Niambie peke yangu ee😂
Inaumiza sana sanakuna watu wanapitia magumu,,,,mama huyo dogo Naa anaona bora kutoroka home akaolewe sio jambo dogo hilo ujue🤦♀️
Shukrani sana mkuu nimefika...🙇Analyse Palina Antonnia Depal Kapeace Numbisa baby zu Watu8 Dr Restart Kalpana Bantu Lady charrote Nylon Half american Amehlo Jane Lowassa Franky Samuel Leejay49 Nourhan Robot la Matope Elli Makindajr Vinci Dayot Upamecano IFRS Sinoni kyala Ulinamaka Joannah Nuzulati Da Vinci XV masai dada Kalpana Lovelovie Premij canoon Lamzettttt
ni kweliInaumiza sana sana
Ushawah kuchanganyikiwa mpaka Unamwambia mganga km kafara basi nitoeni mimiHujawahi kukutana na misala ya skuli umewahi kula pesa ya ada halafu next week ni mtihani tena ijumatano na Tena nakumbuka niliwapia marafaki zangu na nikabakiwa na elfu sitini na nimekula ml 1 na laki tisa tumeendea hadi porini Kuja Sasa imebaki siku 2 nikaanza kichangisha michango ya rambi rambi eti babu kafa na ndio alikuwa ananipa ada hiyo pesa haijatosha na ndio mtihani wakumaliza chuo . Ilibidi nitunge hadi shuleni nikaambiwa nimalizie baada ya mitihani LASIVYOO sipewi cheti ndio nikaanza kutembea nalia ndio jamaa akapaki gari unashida gani ??
Nikasema yote naniukweli akasema umeraise ngapi nikasema ndio akaenda kunilipia ada shuleni nikaona nyota nikakoma ujinga nilikiloma ujinga usenge kwanza maana unakula ada ili uonekane upo juu wahi nikaanza kuishi kivangu hadi Leo ukinipenda sawa .
Umewahi shikwa ukivuta ganja?? Umewahi kushikwa na barua ya mapenzi ?? Je umewahi pigana na mwalimu ngumu haswa halafu watu wanashangilia hadi waalimu wewe hujawahi je umewahi kuwa na shemeji jambazi anayetafutwa na serikali hujawahi pitia kitu dogo kaaa kwakutulia kwanza ulikuwa mjinga sana unaendekeza mapenzi na shule wapi na wapi , mie barua haikuwa yangu ya mapenzi ni watu tu niombwa nimpelekee mtu.
Ally Nassor Px
Na wakat npo o level nafanya pre national examination test nilipigana na head master alaf ss kosa lilikuwa sio langu lkn nkaonekana mimi ndo nimekosea nikaitiwa police shule na nikapgwa suspension mpk siku ya mtihani wa taifa.Hujawahi kukutana na misala ya skuli umewahi kula pesa ya ada halafu next week ni mtihani tena ijumatano na Tena nakumbuka niliwapia marafaki zangu na nikabakiwa na elfu sitini na nimekula ml 1 na laki tisa tumeendea hadi porini Kuja Sasa imebaki siku 2 nikaanza kichangisha michango ya rambi rambi eti babu kafa na ndio alikuwa ananipa ada hiyo pesa haijatosha na ndio mtihani wakumaliza chuo . Ilibidi nitunge hadi shuleni nikaambiwa nimalizie baada ya mitihani LASIVYOO sipewi cheti ndio nikaanza kutembea nalia ndio jamaa akapaki gari unashida gani ??
Nikasema yote naniukweli akasema umeraise ngapi nikasema ndio akaenda kunilipia ada shuleni nikaona nyota nikakoma ujinga nilikiloma ujinga usenge kwanza maana unakula ada ili uonekane upo juu wahi nikaanza kuishi kivangu hadi Leo ukinipenda sawa .
Umewahi shikwa ukivuta ganja?? Umewahi kushikwa na barua ya mapenzi ?? Je umewahi pigana na mwalimu ngumu haswa halafu watu wanashangilia hadi waalimu wewe hujawahi je umewahi kuwa na shemeji jambazi anayetafutwa na serikali hujawahi pitia kitu dogo kaaa kwakutulia kwanza ulikuwa mjinga sana unaendekeza mapenzi na shule wapi na wapi , mie barua haikuwa yangu ya mapenzi ni watu tu niombwa nimpelekee mtu.
Ally Nassor Px
Wabongo sijui nani ali turoga, Naona una taka ushindanie ujingaHujawahi kukutana na misala ya skuli umewahi kula pesa ya ada halafu next week ni mtihani tena ijumatano na Tena nakumbuka niliwapia marafaki zangu...
Ahaaa 😆😆😆😆😆😆😆😋😋😋😋 nikweli haya bhanaWabongo sijui nani ali turoga, Naona una taka ushindanie ujinga View attachment 2632731
Kumbe kunatimu ya kumpiga Unique Flower vita sijajua mtaungana sana mie Niko hapa nanyonya Kwa babeleo amepunguza kiwango cha arosto 😂
Dah! Aisee kumbe Kuna team yakumpiga vita Unique Flower[emoji23] Leo amejitahidi sana
Wewe mnafiki tu aisee mmh! Mnakuwa watu masnitch mbayaUshawah kuchanganyikiwa mpaka Unamwambia mganga km kafara basi nitoeni mimi
Duh! Kazi kwelikweliHujawahi kukutana na misala ya skuli umewahi kula pesa ya ada halafu next week ni mtihani tena ijumatano na Tena nakumbuka niliwapia marafaki zangu na nikabakiwa na elfu sitini na nimekula ml 1 na laki tisa tumeendea hadi porini Kuja Sasa imebaki siku 2 nikaanza kuchangisha michango ya rambi rambi eti babu kafa na ndio alikuwa ananipa ada hiyo pesa haijatosha na ndio mtihani wakumaliza chuo . Ilibidi nitunge hadi shuleni nikaambiwa nimalizie baada ya mitihani LASIVYOO sipewi cheti ndio nikaanza kutembea nalia ndio jamaa akapaki gari unashida gani ??
Nikasema yote naniukweli akasema umeraise ngapi nikasema ndio akaenda kunilipia ada shuleni nikaona nyota nikakoma ujinga nilikiloma ujinga usenge kwanza maana unakula ada ili uonekane upo juu wahi nikaanza kuishi kivangu hadi Leo ukinipenda sawa .
Umewahi shikwa ukivuta ganja?? Umewahi kushikwa na barua ya mapenzi ?? Je umewahi pigana na mwalimu ngumi haswa halafu watu wanashangilia hadi waalimu wewe hujawahi je umewahi kuwa na shemeji jambazi anayetafutwa na serikali hujawahi pitia kitu dogo kaaa kwakutulia kwanza ulikuwa mjinga sana unaendekeza mapenzi na shule wapi na wapi , mie barua haikuwa yangu ya mapenzi ni watu tu niombwa nimpelekee mtu.
Ally Nassor Px
Sawa hustle.Wewe mnafiki tu aisee mmh! Mnakuwa watu masnitch mbaya