chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
me na MTU mchoyo sipatani nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndiyo ukamalie Dini sana!! kwa sababu shetani amekita miziz ili akuteke kirahisi!! hao unaoona makatili siyo wao bali ni mashetani wamejigeuza kwa sura zao!! ili wew usiwe mwana dini km wao…Kule kwenye dini wamejificha tu,na ni asilimia kubwa sana ya wanaojifanya wako deep sana na dini ilaukichunguza mambo yao ni ya ajabu na ndiyo yanayosababisha hata watu kupuuza kufuatilia kwenda Makanisani/Misikitini
Basi nawe ni choyo vile vile hasi na hasi hazitoi umeme!me na MTU mchoyo sipatani nae.
Mkuu amino nakwambia. Kuna uhusiano mkubwa kati ya ulokole na uchoyo plus roho mbaya. Chunguza uone. Hata kwa mapadre unaweza fukuzwa kazi kwa kula papai la bustanini hata kama lilidondokaMama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
Kuna watu uchoyo Upo damuni🤣🙌Daah nami umenikumbusha room mate wangu mmoja,yaan siku ya kufunga chuo ndio nikagundua dumu la asali la Lita tano ambayo imeisha,swali linakuja alikuwa anakula hiyo asali saa ngapi? Ila nilimwambia we mate noma Sana Yan kumbe Una asali humu ndani sijui akabaki kucheka Tu,daah tunatofautiana sana
Ni kweli na hii inasimaa kwa mmoja mmoja, Mara kadhaa nimeshuhudia viongozi wangu wa kiroho wakirumbana na kushikana mashati na sisi tunawaona hao kama kioo chetu, viongozi wetu tunaona tamaa za ngono "zinawadrive" na kufanya zinaa na waumini wao.Hizo Dhambi za asili unazosema zina athiri Sana utu wa ndani wa mtu lakini ikiwa unamtumikia Mungu kwa uaminifu na unasoma sana Biblia au Quran,na ukaishi sawasawa na Maagizo ya Neno linavyosema huku akimwomba Mungu,
Hakika Mungu ni mwaminifu atakubadilisha tuu utu wa ndani yako,na hiyo Dhambi za asili taratibu zitaondoka ndani yako lakini itakutaka usimame vizuri kumwishi Mungu kweli kinyume na hapo utakuwa unafanya unafiki mwingi
huyo sasa ana PhD in Uchoyo na Roho mbayaDaah nami umenikumbusha room mate wangu mmoja,yaan siku ya kufunga chuo ndio nikagundua dumu la asali la Lita tano ambayo imeisha,swali linakuja alikuwa anakula hiyo asali saa ngapi? Ila nilimwambia we mate noma Sana Yan kumbe Una asali humu ndani sijui akabaki kucheka Tu,daah tunatofautiana sana
Kweli kabisa zuleykha ,huwa naumia Sana kuona hawa watu wananyanyaswa,nao ni binadamu kama wengine na ni KAZI kama zingine pia.Tena ni makombo aisee, mimi nmeshuhudia mahali nkaumia sana . Hawa wadada wakazi ukiwaskiliza kwa umakini utagundua kuwa hakutarajia kuwa hivyo. Huwa ni maisha yanaenda mrama tu .
Utu hakuna tenaKweli kabisa zuleykha ,huwa naumia Sana kuona hawa watu wananyanyaswa,nao ni binadamu kama wengine na ni KAZI kama zingine pia.
Halafu unajua ni hatar Sana,unamnyanyasa mtu ambaye anakupikia chakula,hivi hauwazi Tu kuwa anaweza kukufanyia chochote kupitia Hicho chakula?
Kweli kipenz changu,ndio ni Ile machoni kama watu Ila nyoyoni.....Utu hakuna tena
...Kaka Yake!... [emoji3][emoji3]Ni kweli umaskini hasa ndio swala. Kwenye hali ya uchumi bembelezi inabidi chakula kiliwe kwa mpango rasmi nyakati za kifungua kinywa, lunch na supper tu. Kuruhusu vyakula vichukuliwe kiholela nyakati zozote itavuruga bajeti.
Ila kwa vitu kama maji ya kunywa ndio changamoto!
Hakika mkuu ni lazima uuamue toka ndani ya moyo kumtumikia Mungu kwa maana swala la Wokovu ni la mtu mmojaNi kweli na hii inasimaa kwa mmoja mmoja, Mara kadhaa nimeshuhudia viongozi wangu wa kiroho wakirumbana na kushikana mashati na sisi tunawaona hao kama kioo chetu, viongozi wetu tunaona tamaa za ngono "zinawadrive" na kufanya zinaa na waumini wao.
Haya maswala ya imani yanasimama na mtu binafsi na kumuomba Mungu haswaa atubadilishe maisha yetu.
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂👍Tulipokuwa form six kuna jamaa mmoja bahili balaa , kila siku bwenini yeye anaomba sukari ya uji ,sabuni anagongea, kama haitoshi ataomba hata povu afulie , hata kujihurumia hana , kila siku tunabebana kama washikaji ,mwisho wa siku tunafunga shule watu wamemwibia 400,000 ya pocket money aliyodunduliza tangu shule inafunguliwa. Anaanza kulia oooh nilijibana ,sili ,sifui halafu napigwa.