Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Unataka kuniambia kiboko ni balaa.? Mbona anaonekana mlegevu? Laini laini kama kubwa jinga MutuZ

unajua simba au paka wote wana nguvu sana kwa wanyama wenye shingo.

sasa ukiiangalia shape ya kiboko,na ule mdomo unaofanya shambulio kama mkasi,ni hatari sana kwa simba.

ni bora akale hata mapera lakini sio kuingia mtoni kumfata kiboko,kwanza ratio ya uzito ni kama 1:6[emoji16]
 
To be specific, alikua simba dume. Mamba akiwa kwenye maji, ni viumbe wawili tu ndio wanamshinda, either Tembo au Kiboko. Hao wengine wachumba tu!
Mkuu simba dume huwa haogopi kiume wa aina yeyote uwe wa majini au nchi kavu, ukimess with him atakuuwa au kukujeruhi vibaya. Mamba mbona anawatemi wake kibao na anamezwa kama big jii
 

Attachments

  • images (49).jpeg
    13.7 KB · Views: 9
  • images (50).jpeg
    51.9 KB · Views: 7
Mkuu simba dume huwa haogopi kiume wa aina yeyote uwe wa majini au nchi kavu, ukimess with him atakuuwa au kukujeruhi vibaya. Mamba mbona anawatemi wake kibao na anamezwa kama big jii
mzee
amazon ndio kuna hawa jaguar kwa wingi,anaconda nk.
picha hizi ni mwendelezo wa huyo mamba wa mchongo wa america ya kusini akiliwa na anaconda.

mamba wa ki nigga ni habari nyingine.
kuhusu simba kuwa jasiri ni kweli,ila ujasiri wake una mipaka,ngoja nikutajie wanyama ambao simba huwa hafikirii kuwadhuru isipokuwa aamue kubeti,kufa au kupona sawa.

binaadam,tembo,faru,boko,mamba na nyati dume.hapo simba hukimbia kabisa na ukiona kasimama ujue kakibali kila kitu.
 
Vp kuhusu kiboko je mbona huwa hazinguliwi na mamba kabisa
 
Simba dume huwa anavuka kwa raha mustarehe kwenye mto wowote wenye mamba zaidi ya 200 na hawamsogelei. King lion ni habari nyingine aisee.
Kwa ujumla ndani ya maji ya kina hata simba dume anatafunwa. Ukingoni wanachuana.
 
Jaguar anatoa Cainman na Allegator, Usifanye Mchezo na Crocodile mzee, Nile Crocodile mmoja ana approach 1 tonne
Siki hiyo kulikuwa na maonesha ya nane nane wakaleta mamba nadhani ni jamii ya hao wa mto nile.. Thats a killing machine yani walifanya kumrushia kichwa cha ngombe sijui kama chakula just a single bite kapasua pasua alafu ni Mkubwa yani yule akikumeza unatosha kabisaa..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kile kiumbe Africa kina Stress....

Nakumbuka zamani sana nilikuwepo Mkoa mmoja... sasa tulipokuwa kulikuwa na Timbili wengi... Kuwaona wanatembea kwenye makazi ya Watu ni kawaida...

Hiyo siku kulikuwa na Papai tumeiva lipo nje... Waanza kulila....Nikasema ngoja niwafukuze.. Wueeeeh!!!!....Namna walinikimbiza sijawahi kusahau[emoji28]Hadi leo sina Ukaribu na wale viumbe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba na Mapera tena Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…