umenikumbusha mbali,,Nina ka anko kangu kangu wakati bado mdogo Kama mwaka na nusu alikuwa na bifu na jogoo...hili jogoo lilikuwa muda mwingi linamsaka ,anko akitoka nje tu jogoo anauma nae NI mwendo wa kumparua Sana...anko ikawa NI kushinda ndani kutoka nje hataki mpaka usalama wa jogoo udhibitiwe..
Ilitokea siku moja katika kucheki usalama wa jogoo akaona NI Kama jogoo limezama kibandani...ikabidi atoke ndani apunge upepo nje,kumbe jogoo lilikuwa linapiga misele tu karibu ,,,aisee kipigo alichokula anko ilikuwa sio ,,maana mpaka msaada ufike tulikuta anko jino linaning'ia damu zinavuja mdomoni...ikabidi tumwaishe hospital,,kufika dokta akamalizia kutoa vipande vya jino..
Jogoo siku hiyo hakubaki salama kisu kilimuhusu na aliliwa nyama yote kwa hasira ..
Anko wangu mpaka Leo hii Ana miaka sita,,nyama ya kuku Hali kabisaa na Wala hataki kuwasikia kuku zaidi ya kuwatazama..
Kibaya zaidi anawaonea huruma tu wanavyochinjwa mpaka huwa analia Sana..kwaiyo kuchinja kuku tunalazimika asijue kabisa maana itakuwa msiba..
NAKAZIA ,AFRIKA KILA KIUMBE KIMEVURUGWA...MAMBA NDIE KIUMBE ANAEWEZA KUKAA SEHEMU HATA MIEZI MIWILI AKIKUWINDA MTU MMOJA...NA HAYO NDIO MAFUNZO YA SNIPER SOLDIER...HIKI KIUMBE NI HATARI SANA..