nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Shida ni kutofautisha alligator na crocodile, ngozi ya crocodile ya mgongoni hakuna mshale Wala mkuki unaoingia.
Kuna jamaa alikuwa anawinda mamba ziwa Victoria anasema huwa wanamfunga mbuzi jirani ya ziwa, mamba anakuja kumkamata kwa kuinua sehemu yake ya mbele, wao ndio wanampiga risasi Ile ngozi ya chini anapoinuka, wanasema ukimpiga mgongoni unajidanganya