Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Shida ni kutofautisha alligator na crocodile, ngozi ya crocodile ya mgongoni hakuna mshale Wala mkuki unaoingia.

Kuna jamaa alikuwa anawinda mamba ziwa Victoria anasema huwa wanamfunga mbuzi jirani ya ziwa, mamba anakuja kumkamata kwa kuinua sehemu yake ya mbele, wao ndio wanampiga risasi Ile ngozi ya chini anapoinuka, wanasema ukimpiga mgongoni unajidanganya
 
mkuu risasi kama risasi kabisa mgongoni haipenyi.??.mkuu au unamaanisha hizi risasi za kwenye movies
 
Muwe mnaelewa tukiwaambia kila kiumbe Africa kimevurugwa. Ukijichanganya tu kwenye anga zake inakula kwako.

Tena tukimuongelea mamba ndio hatari kuzidi hatari yenyewe. Ukiingia kwenye maji basi ni kama upinzani kuingia kwenye uchaguzi na CCM bila tume huru ya uchaguzi. Lazima wakufanye vibaya!

Nimewaletea link hiyo hapo, mfalme wenu wa nyika alijichanganya mtoni akakutana na kahuni kamoja tu. Alinusurika akaenda kufia mbele huko. Na unaambiwa kajamaa hakakuwa na njaa wala nini, kalitaka tu kumuonyesha bwana Simba kwamba hakapendi dharau kwenye maeneo yake ya kujidai.

Simba hafui dafu kwa mamba wakiwa kwenye maji, labda yanga kidogo watajitahidi ila nao wataliwa tu!

Bangi hizi
Usifananishe bangi na vitu vya ajabu ajabu mkuu

Bangi ni Dawa iliyothibitishwa na WHO

Bangi ni Chakula cha Taifa la Jameica

Bangi ni baba wa Confidence

Bangi ni source of hidden energy. Vuta kakipande kadogo tu lima Heka 5 per day kwa Jembe la mkono
 
unajua simba au paka wote wana nguvu sana kwa wanyama wenye shingo.

sasa ukiiangalia shape ya kiboko,na ule mdomo unaofanya shambulio kama mkasi,ni hatari sana kwa simba.

ni bora akale hata mapera lakini sio kuingia mtoni kumfata kiboko,kwanza ratio ya uzito ni kama 1:6[emoji16]
Hahaha akale mapera tena, mna vituko wadau
 
Jaguar huwa hawindi mamba halisi bali ni jamii ya mamba wanaoitwa Caiman.Jamii hii ya mijusi wanapatikana huko America ya kusini si wakali km mamba tunaowajua na hata mpangilio wao wa meno ni tofauti.

[emoji23][emoji1787][emoji1787]yaan yule hata akikutana na comodol lizard sijui kama atafutukuta.

vile vidude hata 50 kg havifiki.
 
Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
 
Unataka kuniambia kiboko ni balaa.? Mbona anaonekana mlegevu? Laini laini kama kubwa jinga MutuZ
Hilo jamaa kwanza ni likubwa na lina nguvu kushinda mamba, na domo lake limejaa mijino mirefu ya kutisha.

Mamba huwa hajaribu hata kugusa kitoto chake anajua akijichanganya wenzie wanaimba pambio.
 
Shida ni kutofautisha alligator na crocodile, ngozi ya crocodile ya mgongoni hakuna mshale Wala mkuki unaoingia.

Kuna jamaa alikuwa anawinda mamba ziwa Victoria anasema huwa wanamfunga mbuzi jirani ya ziwa, mamba anakuja kumkamata kwa kuinua sehemu yake ya mbele, wao ndio wanampiga risasi Ile ngozi ya chini anapoinuka, wanasema ukimpiga mgongoni unajidanganya
Acha fiksi Mkuu, unaijua risasi? Yaani risasi ishindwe kupenya magamba ya mamba? Ha ha haaa ...
 
Namba moja kama sio Tiger naandamana. Namba mbili chui afu ndo simba
 
cheki amebanwa na zebra hana ujanja.
IMG-20220728-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom