Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Na unaambiwa kwenye Interview wakati Bi Hellen Gandy akiomba kazi alivyoulizwa kuhusu kuolewa akasema hana mipango ya kuolewa, Hoover akabariki Bi Hellen apatiwe kazi haraka iwezekanavyo.
Baada ya kuwa amempatia kazi usiku huo saa 8 Bi Hellen akiwa amelala kitandani alishangaa ana amshwa na Boss wake na inavyosemekana alikuja kuhoji kwanini hana mpango wa kuolewa sababu yake Bi hellen ilidai Hakuwahi kupata utam au Radha ya mapenzi na akamua kuongoza akili zake kwenye kazi tu na hivyo story ya Bi Hellen na Mr Hoover zilifanana na kuna uvumi kuwa alipenda kumtembelea kwake usiku tu muda wa saa 8. Baadae inasemekana walijalibu kuunganisha vikojoleo vyao ila majibu yaliotoka. kila mtu alidai kutokufurahia tendo hilo na hapo ndio ukawa mwanzo wa kupendana kwenye maswala ya kazi
........kuna mikasa mingi sana ya huyu mtu aiseee mtoa mada asante umenifanya nirudi maktaba kwangu kusoma hawa watu waliosumbua dunia hii



Ngoja nishie hapo maktaba ina lala
 

Hapo kwenye namba 8 & 9 Nahisi huyo dikteta wa FBI na srkretari wake walikuwa na mahusiano ya kimapenzi wenyewe kwa wenyewe ndio maana wote wakaonekana ni mabachela ...ukaribu wao na kuelewana kwao kumepitiliza
Iyo muvi hapo inaitwaje
Namuona di caprio
 
Kwenye hayo mambo hata uwe katili vipi ukifikia hiyo hatua unanywea
 
Pana namba mbili wake clyde tolson alikuwa bwana mdogo mtanashati palikuwa na tetesi kuwa walikuwa na muonekano usio mzuri kama kuwa na long kisses na vitu fulani sasa wengi hawasemi nani alikuwa anatafunywa au ilikuwa chenji bin chenji (yaani wanatafunana )ila edger hata Martin Luther aliwahi kumfanyia mchezo huo wa kumrekodi.
 
asante kwa nyongeza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…