Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Ngoja na mimi hapa Tanzania nianzishe shirika kama la FBI mtajuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuwa amempatia kazi usiku huo saa 8 Bi Hellen akiwa amelala kitandani alishangaa ana amshwa na Boss wake na inavyosemekana alikuja kuhoji kwanini hana mpango wa kuolewa sababu yake Bi hellen ilidai Hakuwahi kupata utam au Radha ya mapenzi na akamua kuongoza akili zake kwenye kazi tu na hivyo story ya Bi Hellen na Mr Hoover zilifanana na kuna uvumi kuwa alipenda kumtembelea kwake usiku tu muda wa saa 8. Baadae inasemekana walijalibu kuunganisha vikojoleo vyao ila majibu yaliotoka. kila mtu alidai kutokufurahia tendo hilo na hapo ndio ukawa mwanzo wa kupendana kwenye maswala ya kaziNa unaambiwa kwenye Interview wakati Bi Hellen Gandy akiomba kazi alivyoulizwa kuhusu kuolewa akasema hana mipango ya kuolewa, Hoover akabariki Bi Hellen apatiwe kazi haraka iwezekanavyo.
ukitaka kmfaidi huyu mzee, tafuta muvi inaitwa all the way 2016, jamaa ana akili balaa hlf anajua kupika matukioSalute mr.Hoover
Duh!Mjomba Wangu huyo
Duh!Mjomba Wangu huyo
Naomba stori yake fullAchana John Dillinger wa Bongo, John Dillinger orijino hakuwa mtu wa masihara, ni mhalifu mkubwa sana na alisumbua sana marekani hadi kufikia kuwa The most wanted Man in America.
Iyo muvi hapo inaitwaje![]()
![]()
![]()
![]()
Hapo kwenye namba 8 & 9 Nahisi huyo dikteta wa FBI na srkretari wake walikuwa na mahusiano ya kimapenzi wenyewe kwa wenyewe ndio maana wote wakaonekana ni mabachela ...ukaribu wao na kuelewana kwao kumepitiliza
Umemuona bbyface[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umenifurahisha sana
Siikumbuki jina hiyo aliyocheza Dicaprio...ila zipp nyongi pamoja na vitabu vinavyomzungumxia huyo boss wa FBIIyo muvi hapo inaitwaje
Namuona di caprio
Jimmy Hoffa pia alipotezwa na hooverUyo jamaa inaonesha haku muua martin Luther pekee mpaka wengne
Picha namba 3 huyo jamaa ni Jack wa TitanicMaelezo picha namba 3 tafadhali
John dillinger hawakuwa watu wazuri na kundi lake kafanya wizi benki 24 tofauti kavamia vituo vya polisi mara 4 majimbo manne ya marekani wakawa wanamsaka mwaka mzima hapo ndipo edger hoover akaingia John utukutu huo mpaka umauti unamkuta hajafika miaka 40.Naomba stori yake full
Alikuwa na list za marais wengi ambao alitaka kuwa mafiaJimmy Hoffa pia alipotezwa na hoover
asante kwa nyongeza mkuuJohn dillinger hawakuwa watu wazuri na kundi lake kafanya wizi benki 24 tofauti kavamia vituo vya polisi mara 4 majimbo manne ya marekani wakawa wanamsaka mwaka mzima hapo ndipo edger hoover akaingia John utukutu huo mpaka umauti unamkuta hajafika miaka 40.