Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Db ni Nan maana kumsikia mara ya kwanza kwenye prisonbreak
Hicho chuma kilikuwepo lakini hakuna anae kijua sura na hata jina hilo linaweza kuwa si jina lake halisi huyu aliteka ndege mwaka 1971 walikitafuta sana na kubuni buni khabari kuwa kilikufa wakati kinashuka na parachuti lakini ushahidi kamili hakuna aliye shuhudia mabaki yake nadhani mwaka jana waliamua kulifunga faili lake. Hizi za prison break ni hadithi njoo utamu kolea hakuna ukweli wowote.
 
km mafili yote yalichomwa moto nan alitoa siri hii na nan alifahamu haya mambo kiundani ivo? je alikuwa muwazi kiwango hicho? Je km ndivo tunaweza kumwita mweredi au alidifiwa tu.
Nawaza tu
Wenye siri walijijua kwa kuwa rais akiwa hafurahishwi na bwana hoover na aki waza kumtumbua hoover ana mpa hint ya scandal yake kwa kitu kama "..Mr President before you discuss this er i kindly ask you to consider subject x which if i were you i would love it to be a public knowledge.."
Sasa hapo presidaa na watu wake lazima washikilie taulo na kuambizana wasimguse! Na hakika hawana uhakika kipi anachojua
Huyo bwana kwa maelezo hayo inaonesha alikuwa mtu hatari sana mbaka kufikia kutishia uhai wa marais, ila hiyo namba 8 inatia mashaka kidogo
 

Bi Hellen Gandy naye hakuolewa wala kupata mtoto.

Hii kazi nyingine nazo.
Kuna baadhi ya mambo hufanywa kwa ujanja ili mtu asiweze kupata weakness yako na kukuingilia.

Kwa nafasi aliyokuwa nayo, jamaa aliweza kabisa kuondoa nyaraka zote zinazo onyesha kuwa na mtoto au hata mpenzi

Document zote ili awe salama
 
Nackia alozaliwa 1903 kafa 1931
 
Kweli jamaa kasumbua
 
Ujanja muhimu maana kazi nyingine ni hatari sana
 
Nackia alozaliwa 1903 kafa 1931
Alizaliwa 1903 na kufariki 1934 akiwa na miaka 31 umri mwingi kautumikia jela baada ya kufanya tukio lake la mwanzo na huko ilipunguzwa nadhani kutoka 20 mpaka 9 ila huko jela ndio alikuja kukutana na vichwa vingine alipotoa akawa moto moja ya vituko vya huyu fedhuli alikuwa ana mjamii mama yake wa kambo. Ilikuwa heka heka na alikuwa ana jiamini sana kama kwenda penye filamu na viwanja vya michezo pia aliwahi kufanyiwa upasuaji wa kubadilisha muonekano wa wajihi wake.
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…