Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI

Kuna movie zilizochezwa na zingine zikiwa directed na Hoover
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hakuoa wala kuzaa kwa sababu kuu moja!

Ukioa na kuzaa unapelelezeka kwa urahisi sana!

Huwezi kuficha siri zako kwa 100% mashirika ya upelelezi wakati ukiwa una mke au watoto!

Yeye alilitambua hilo na ndio maana hadi leo hatuwezi kumpeleleza tena.
Hawa Mashushushu haswa kama ana ufanisi mkubwa hutengenezewa Mazingira kuwa hana familia yani Huonekana bachelor public na wala anakuwa hayuko close na Family kwanini hufichi kwanza mwanadamu anakuwa na ufanisi mkubwa sana ikiwa tu hataoa wala kuolewa yani akiwa lonely man or woman mifano Leonard da vinci huyu ni polymath very gifted and talented Unamkuta Nikola Tesla Electrical engineer He did wonders, Sasa Mataifa endelevu katika intelligence huwapa perority kubwa single men and women sasa ikitokea mtu Ni moto wa kuotea mbali basi huficha documents zote za huyo mtu juu ya familia ili tu kumlinda na maadui incase amejulikana kumbuka mwanadamu ni dhaifu sana kwa lijapo swala la familia ivo kuonekana hana familia hii ina maana hana cha kupoteza public, Kuna za chini chini zinasema waziri wa ulinzi wa US James Mattis Mad dog ana familia japo haijawh kuwa proved popote na status yake ni long live bachelor.
 
Mwambie atafute post the Bold humu JF alileta story ya DB COOPER, inasisimua kwa kweli. Ningekuwa mtaalamu wa IT ningemfukulia hiyo thread
 
Ndio mkuuu huyu ni General mad dog kwa jina maarufu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…