Mambo 10 niliyoyaona kwenye Mechi ya Yanga Vs MC Alger

Mambo 10 niliyoyaona kwenye Mechi ya Yanga Vs MC Alger

Yanga tukubali tu tangu aondoke Mayele, hatujawahi tena kumiliki mshambuliaji wa kutumainiwa na timu. Dube anaruka ruka tu uwanjani na kuanguka hovyo! Hana nguvu, hana pace!! Yaani ni tia maji tia maji tu.

Musondo naye sijui ana shida gani! Maana hata hajitumi kivile. Kocha naye naye anaonekana ni mgeni wa mashindano! Kuna mapungufu mengi ya kiufundi nayo yamechangia kuindosha timu kwenye mashindano.
Nilisema mwanzo kabisa, Yanga sijui ilitumia akili gani kumsajili Dube na Baleke. Ingekuwa wa ndani sawa. Lakini kweli unachukua mchezaji wa kigeni unayemshuhudia kila siku akiflop?
 
Mlizingatia deni la million 100 mkasahau mechi yenu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo kwenye kufanyiwa sub Aucho nakukatalia leo ndo alikuwa engine pale mbele na anastahili hata kupewa man of the match
Jamaa hajui mpira,aucho na azizi wamefanya sana kazi,kocha ndo mzushi hana ubunifu kakalili kikosi muda na max walipaswa wacheze wote wanajituma sana, dube angetoka akaingia zingeli au abuya
 
Hayo mashindano ya akina mama
1. Ndiyo mashindano mnayojivunia mpaka sasa (kwenye Champion League bado hamjavunja record ya Simba)
2. Hayo mashindao ya wakinana ndiyo mlicheza mpaka mkafika fainali
3. Hayo mashindano ya wakinamama ndiyo mpaka metegeneza documentary
4. Hayo mashindano ya wakina mama ndiyo mnazo mpaka medali zake
5. Hayo mashindano ya wakina mama ndiyo mpaka mashabiki wa Yanga na wachezaji walikula Supu Jangwani
Unafikiri kati ya Yanga na Simba hapo nani ni mama?
Hongera mwakakundi umejaribu😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
Wao ni akina mama wakubwa mkuu wasikuchoshe .au wao walikuwa wapishi wa akina baba mashindanoni.
 
Mechi ilikua Tunashindaaa,kochaa ndio tatizooo unamwacha Pacome njee Bora Angeanza na chamaa. Dube sio level za kucheza Yanga.

Bocca pengine Msiba Baba yake ingawa kunavitu Lomalisa alikuaga navyoo.
 
Back
Top Bottom