Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Kiumbe Mungu yupo, na kipo.Hakuna kiumbe kinaitwa Mungu na wala hakitakaa kiwepo, zaidi ya vichwani mwa watu tu , kama kama hiyo nadharia ipo uwepo wake unategemea uwepo wa binadamu walio na hiyo nadharia kichwani tu.
Thibitisha unachokisemayap yap, mfinyanzi huwezi kumuuliza kitu, ok tuseme kwa namna yako unavyojua, tuletee chanzo chake.
Wapi nimesema nataka ukubali? Lini uliona nimefungua uzi wakusema Mungu hayupo? Nyie mmeleta hoja ya uwepo wa Mungu mezani , mimi sitaki kuamini nataka kujua kwa uhakika, nikishajua uniambie kati ya Mungu 1000 yupi ni sahihi kwa uthibitisho .Kiumbe Mungu yupo, na kipo.
Why unataka tukubali nadharia yako ni sahihj kuliko zetu?, utasems thibitisha kuwa yupo, na mimi nithibitishie kuwa hayupo.
Mtu akisubiri afe ndio amjue Mungu, it will be too late. Soma Biblia, kuna kisa kimoja cha tajiri aliyeingia kwenye mateso akawa anaomba ndugu zake wasiende huko. Moto ni mkali. Luka 16:19-31One day when we all dead and unlimited to human brain we may be able to understand creation and everything will make Sense 👍
mkuu nina swaliUna-enjoy "Peke yako nyikani majani na umande tele..." lakini humjui aliyeumba hayo. Mungu akufunulie
Na wewe kwa namna unavyojua thibitisha kuwa Mungu yupo.yap yap, mfinyanzi huwezi kumuuliza kitu, ok tuseme kwa namna yako unavyojua, tuletee chanzo chake.
Najua hauna uthibitisho, ni imani tu.. Ila uhakaka wa tunacho kiamini ni kizungumkuti.Ndiyo.
HahhahaWapi nimesema nataka ukubali? Lini uliona nimefungua uzi wakusema Mungu hayupo? Nyie mmeleta hoja ya uwepo wa Mungu mezani , mimi sitaki kuamini nataka kujua kwa uhakika, nikishajua uniambie kati ya Mungu 1000 yupi ni sahihi kwa uthibitisho .
God is TIME! ... EXISTED BACK TO PAST INFINITY AND WILL EXIST TO THE FUTURE INFINITY!Yeye Mungu ame arise kutokea wapi?
Thibitisha kuwa MUNGU hayupo.Na wewe kwa namna unavyojua thibitisha kuwa Mungu yupo.
Bora kuchagua njia sahihi ukiwa haiMtu akisubiri afe ndio amjue Mungu, it will be too late. Soma Biblia, kuna kisa kimoja cha tajiri aliyeingia kwenye mateso akawa anaomba ndugu zake wasiende huko. Moto ni mkali. Luka 16:19-31
Nileteeni chanzo ndiomsingi wa swali lenu, mkishindwa nami sita wathibitishia.Thibitisha unachokisema
Kamuulize Elon Musk, labda yeye atakusaidia kuthibitisha kuwa Mungu yupo. Pamoja na kuwa tajiri mkubwa duniani(As of December 31, 2024, Forbes estimates Musk's net worth at approximately $427.8 billion, making him the wealthiest person globally) lakini bado anakiri kuwa mafundisho ya Yesu ni mazuri na yenye hekima.Kwanini nijisumbue ku disprove kitu ambacho hakijawahi kuwa proved??
Hujui kuwa madai yeyote yasiyokuwa na ushahidi yanaweza kuwa dismissed bila ushahidi?
Hayo ni maneno ya kiimani tu yani ni moto wa imani ,wala siwezi kupinga mtu kuamini tena nataka mzidi kuishi kwa imani tu , ila unapokuja kutaka mimi niamini unachokiamini nahitaji uthibitisho ili nisibaki kwenye imani kama wewe , nijue kabisa.Hahhaha
Sikia wewe ,unapokataa nadhatia ya mtu au kuipinga una maana ya kuwa yako ndio sahihi, japo hutasema direct,
Unapotaka kujua kwa hakika, unatakiwa usikilize then fanya kwa experience kama wao walivyofanya, maan yake kuna namba yakuwa ili uoate uhakika.
Hahah Mungu yupi kwa uthibitisho? Sasa through experience utajua yupi ni sahihi.
Yule aliyekuwako, aliyepo na milele alishaonya juu ya miungu itakayojifananisha nae, simple tu .
Ushawahi kumuona huyo Mungu, ulishawahi sikia kuwa kuna mtu aliwahi muona Mungu.Thibitisha kuwa MUNGU hayupo.
Chanzo cha kitu gani?Nileteeni chanzo ndiomsingi wa swali lenu, mkishindwa nami sita wathibitishia.
Mungu ambaye ana hangaikiwa kusemewa na kuongelewa na binadamu ni Mungu mchovu na mdhaifu.Uthibitisho umeishatolewa vipengele 10+2.
Elon musk kuabudu Mungu yupo, Sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.Kamuulize Elon Musk, labda yeye atakusaidia kuthibitisha kuwa Mungu yupo. Pamoja na kuwa tajiri mkubwa duniani(As of December 31, 2024, Forbes estimates Musk's net worth at approximately $427.8 billion, making him the wealthiest person globally) lakini bado anakiri kuwa mafundisho ya Yesu ni mazuri na yenye hekima.