Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Kiumbe Mungu yupo, na kipo.Hakuna kiumbe kinaitwa Mungu na wala hakitakaa kiwepo, zaidi ya vichwani mwa watu tu , kama kama hiyo nadharia ipo uwepo wake unategemea uwepo wa binadamu walio na hiyo nadharia kichwani tu.
Why unataka tukubali nadharia yako ni sahihj kuliko zetu?, utasems thibitisha kuwa yupo, na mimi nithibitishie kuwa hayupo.