Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Hakuna kiumbe kinaitwa Mungu na wala hakitakaa kiwepo, zaidi ya vichwani mwa watu tu , kama kama hiyo nadharia ipo uwepo wake unategemea uwepo wa binadamu walio na hiyo nadharia kichwani tu.
Kiumbe Mungu yupo, na kipo.
Why unataka tukubali nadharia yako ni sahihj kuliko zetu?, utasems thibitisha kuwa yupo, na mimi nithibitishie kuwa hayupo.
 
Wapi nimesema nataka ukubali? Lini uliona nimefungua uzi wakusema Mungu hayupo? Nyie mmeleta hoja ya uwepo wa Mungu mezani , mimi sitaki kuamini nataka kujua kwa uhakika, nikishajua uniambie kati ya Mungu 1000 yupi ni sahihi kwa uthibitisho .
 
One day when we all dead and unlimited to human brain we may be able to understand creation and everything will make Sense 👍
Mtu akisubiri afe ndio amjue Mungu, it will be too late. Soma Biblia, kuna kisa kimoja cha tajiri aliyeingia kwenye mateso akawa anaomba ndugu zake wasiende huko. Moto ni mkali. Luka 16:19-31
 
Wapi nimesema nataka ukubali? Lini uliona nimefungua uzi wakusema Mungu hayupo? Nyie mmeleta hoja ya uwepo wa Mungu mezani , mimi sitaki kuamini nataka kujua kwa uhakika, nikishajua uniambie kati ya Mungu 1000 yupi ni sahihi kwa uthibitisho .
Hahhaha
Sikia wewe ,unapokataa nadhatia ya mtu au kuipinga una maana ya kuwa yako ndio sahihi, japo hutasema direct,

Unapotaka kujua kwa hakika, unatakiwa usikilize then fanya kwa experience kama wao walivyofanya, maan yake kuna namba yakuwa ili uoate uhakika.

Hahah Mungu yupi kwa uthibitisho? Sasa through experience utajua yupi ni sahihi.
Yule aliyekuwako, aliyepo na milele alishaonya juu ya miungu itakayojifananisha nae, simple tu .
 
Kwanini nijisumbue ku disprove kitu ambacho hakijawahi kuwa proved??

Hujui kuwa madai yeyote yasiyokuwa na ushahidi yanaweza kuwa dismissed bila ushahidi?
Kamuulize Elon Musk, labda yeye atakusaidia kuthibitisha kuwa Mungu yupo. Pamoja na kuwa tajiri mkubwa duniani(As of December 31, 2024, Forbes estimates Musk's net worth at approximately $427.8 billion, making him the wealthiest person globally) lakini bado anakiri kuwa mafundisho ya Yesu ni mazuri na yenye hekima.
 
Hahhaha
Sikia wewe ,unapokataa nadhatia ya mtu au kuipinga una maana ya kuwa yako ndio sahihi, japo hutasema direct,

Unapotaka kujua kwa hakika, unatakiwa usikilize then fanya kwa experience kama wao walivyofanya, maan yake kuna namba yakuwa ili uoate uhakika.

Hahah Mungu yupi kwa uthibitisho? Sasa through experience utajua yupi ni sahihi.
Yule aliyekuwako, aliyepo na milele alishaonya juu ya miungu itakayojifananisha nae, simple tu .
Hayo ni maneno ya kiimani tu yani ni moto wa imani ,wala siwezi kupinga mtu kuamini tena nataka mzidi kuishi kwa imani tu , ila unapokuja kutaka mimi niamini unachokiamini nahitaji uthibitisho ili nisibaki kwenye imani kama wewe , nijue kabisa.
 
Uthibitisho umeishatolewa vipengele 10+2.
Mungu ambaye ana hangaikiwa kusemewa na kuongelewa na binadamu ni Mungu mchovu na mdhaifu.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe kama.ana huo uwezo.

Sio Ninyi mnahangaika kumtetea na kumwelezea.
 
Kamuulize Elon Musk, labda yeye atakusaidia kuthibitisha kuwa Mungu yupo. Pamoja na kuwa tajiri mkubwa duniani(As of December 31, 2024, Forbes estimates Musk's net worth at approximately $427.8 billion, making him the wealthiest person globally) lakini bado anakiri kuwa mafundisho ya Yesu ni mazuri na yenye hekima.
Elon musk kuabudu Mungu yupo, Sio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Hiyo ni imani na mtazamo wake Elon musk tu.

Hakuna Mungu.
 
Back
Top Bottom