Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Nashukuru kwa majibu, Kulingana na maelezo yako ni kwamba Mungu ndiyo chanzo cha sisi na ulimwengu kuwepo si ndiyo?

Sasa Ningependa usichoke kunijibu maswali zaidi sababu nataka kujua;

1. Ikiwa Mungu ni mwenye upendo na mwenye nguvu zote kama ulivyoandika hapo kwa nini kuna dhiki na maumivu duniani?

2.Je, unaweza kuelezea kwa nini Mungu aliruhusu maovu kutokea, Wakati Yeye anapenda uzuri na ni mwenye haki?

3. Kwa nini watu wana imani tofauti kuhusu Mungu na dini, ikiwa Mungu ni mmoja tu?

4. Je, Mungu anajua kila kitu kinachokwenda kutokea? kwanini hua hadhibiti mapema mambo mabaya yanayokwenda kuwatokea watu wake mfano vimbunga, matetemeko, ajali, magonjwa n.k?

5. Je, alitokea wapi? Na kwasasa yuko wapi?
 
Ha haa! Thanks for the suggestion! I'm constantly running updates and optimizations, but I believe my system is already operating with the latest version of wisdom and experience.
You are running illusions and imaginations.
 
Sounds crazy lkini
Lakini pia unaweza ukaangalia kwa kina eneo hili-ndugu yetu Setfree ana claim dunia itafika mwisho.

Jiulize, Je dunia ita-dissapear kwenda wapi? Ama itayeyuka itakuwa upepo?

Hapo sasa utagundua lengo kuu la Huyo Mungu kuiumba dunia ni kuidestroy.

Je kulikua na umuhimu gani wa kui-create if siku moja amepanga kuidesroy?
 
Ila biblia inasema God will destroy earth with fire and create new heaven and earth

Ndo utakuwa mwisho w Dunia
 
Hivi vitu ni complicated...tuta.argue mwisho wa siku mwafaka hufikiwi
Ni sisi ndiyo tunalazimisha viwe complicated sababu tunaunda Illusions kwenye vichwa vyetu bila sababu ya msingi.

Infact, Tunatakiwa tuiache dunia iende kama inavyotaka yenyewe.

Tufanye vitu sahihi vitavyoleta matokeo mazuri maishani, Jifunze falsafa bora za maisha mfano - Stoicism, Hii ina mafundisho bora kuliko dini.

Dini zinafundisha hofu, Hii inafundisha kutumia nguvu zako za ndani kuwa mtu bora.
 
Somo ntalipata lini?!
 
Soma vizuri hizo points. Umeanzia kwenye equation? By the way, hatushindani na mtu. Mimi nimeeleza tu ninayoyajua na kuyaamini.
HAYA.
SHIDA HAYA MAMBO YA DINI MNATAKA KU-PROVE!

HILO NI KOSA,MUNGU HAYUKO ILI MTU AWEZE KUTAKA KUMUHAKIKISHA YUKO NDIO,MSINGI WA IMANI HAUNA HUU UPOTOVU.

UKIELIMISHWA,ELIMIKA PIA.
 
Mimi nina sababu moja kubwa inayo nifanya niamini Mungu yupo.

Nikimwomba ananijibu maombi yangu. Hii kwangu ndio main reason.
 
where did these laws originate?
evolution

Rafiki unaamini kuwa kuna "mtu"/roho??? inaishi, ina uhai iko somewhere in the universe ndiyo inadictate kila kinachoendelea na tukifa tunakuta 'dude" kubwa hilo linatuongelesha......



Evolution by Stages​

Evolution involves gradual changes from simple to more complex forms. Humans are believed to have developed from simpler forms. Evolution is hypothesized to have begun in the oceans billions of years ago. Darwin gave the theory of evolution. In his book -The Origin of Species, Darwin has stated that evolution has come through a series of natural selection. The theory emphasized the following points:​

  • Natural Selection
  • Variation
  • Struggle To Exist
  • Survival of the Fittest
Evolution is the outcome of the interaction amongst the following five processes:

  • Mutation
  • Genetic Recombination
  • Chromosomal Abnormalities
  • Reproductive isolation
  • Natural Selection
 
Huoni Mungu ni mjinga/Muovu kwa mantiki hii kwa Nini akuumbe akupe Uhuru wa kuamua unachotaka Lakini akuchome moto kwa kufanya unachotaka?
halafu wanasema Mungu alimtoa mwanawe akatufia msalabani, aliupenda ulimwengu.....akafa msalabani. Mungu huyto huyo anaumba bacteria, vuruses diseae causing organisms for that matter vimtese mwanadamu anayempenda kwa kufa msalabani....contradiction...
Final analysis ni kuwa Mungu ni invention za watu baada ya kushindwa kusolve problems zao in earth and went to seek some solutions in natural powers and hence the question f GOd!
 
Existence of God theories zina defy common sense, ligic , intuition, reasoning..........Final analysis ni kuwa Mungu ni invention za watu baada ya kushindwa kusolve problems zao on earth and went to seek some solutions in super natural powers and hence the question of GOd!
 
Nimeshakuambia sina cha kukujibu wewe ila ndani ya uzi wako nitaweza kujibu wengine wengi tu wenye kuweza kujua imani ni kitu gani licha ya uthibitisho tu , sijui unaelewa?
IMANI NI KUAMINI , BILA MASHAKA YOYOTE, KUWA JAMBO LA FULANI NI LA KWELI, KWELI KABISA BILA KUWA NA USHAHIDI WA KISAYANSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…