Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Yesu ndie aliyetuumba au?Ndiyo, Yesu ni Mungu. Yesu alitembea juu ya maji. Yesu aligeuza maji yakawa divai. Yesu alikufa, akafufuka, akapaa mbinguni. Nani mwingine anayeweza kufanya hayo kama sio Mungu.
Soma Yohana 1:1-3:Kwa hiyo Yesu ndie aliyetuumba au?
Dah! Unasikitisha sana kwa sababu zamani nilikuwa nadhani atheists ni watu waelewa sana ila JF imenipa nafasi ya kuweza kuona kuwa sikuwa sahihi.Unasema unajua kwamba Mungu yupo, Haya muoneshe huyo Mungu yupoje.
Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, waliwezaje kujua kuna Mungu?Dah! Unasikitisha sana kwa sababu zamani nilikuwa nadhani atheists ni watu waelewa sana ila JF imenipa nafasi ya kuweza kuona kuwa sikuwa sahihi.
Kama unaelewa unachokipinga utajua kuwa mara zote inasemwa hakuna aliyewahi kumuona Mungu.
Ndugu, usiku mwema.
Hahah! Shehe magu Kuna mada ya kabendela kule mkuuSawa
Mungu anaonekana kupitia kazi zake na uumbaji wake. Biblia inasema:Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, waliwezaje kujua kuna Mungu?
Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, Ni kwamba huyo "Mungu" ni MAFIKIRIO YENU UCHWARA.
Kwahiyo wewe unataka uonyweshwe picha ya Mungu huko aliko au unataka upelekwe huko aliko?Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, waliwezaje kujua kuna Mungu?
Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, Ni kwamba huyo "Mungu" ni MAFIKIRIO YENU UCHWARA.
Hiyo mada ya Kabendera inanishangaza sana maana unamkuta atheist anaamini kabisa madai ya Kabendera na wala hata haihitaji uthibitisho kabisa ye keshaamini ni kweli Magufuli kauwa mtu Ikulu tena kwa bastola.Hahah! Shehe magu Kuna mada ya kabendela kule mkuu
Ibilisi yuko kazini. Ukiamini vitu vingine hashughuliki na wewe. Lakini akiona unataka kuanza kumwamini Mungu atakujaza mashaka na kukuambia hakuna ushahidi.Hiyo mada ya Kabendera inanishangaza sana maana unamkuta atheist anaamini kabisa madai ya Kabendera na wala hata haihitaji uthibitisho kabisa ye keshaamini ni kweli Magufuli kauwa mtu Ikulu tena kwa bastola.
Nataka kuanza kuepukana na atheists kwenye mijadala coz Hawa jamaa usipokuwa na imani thabiti wanakutoa nje ya imani bila kujijua. Neno lisilo na uzima ndani yake linapotamkwa huanza kufanya kazi hapohapo, hata uwe na imani kiasi gani bado utakuta chembe za athari ndani yake.Hiyo mada ya Kabendera inanishangaza sana maana unamkuta atheist anaamini kabisa madai ya Kabendera na wala hata haihitaji uthibitisho kabisa ye keshaamini ni kweli Magufuli kauwa mtu Ikulu tena kwa bastola.
Umesema yesu Kristo...kama Yesu Kristo yupo kwenye uhindu na ubudha sawaUzi huu hauzungumzii dini
God's existence isn't a product of imagination but a reality supported by reason, design in creation, and countless personal experiences. Nimeeleza mara nyingi humu mambo makubwa ambayo Mungu amenitendea. Assumptions can't explain the depth of faith shared by billions.God doesn't exist.
Human beings created God through assumptions based on things beyond imaginations.
Yes, endelea kusubiri, bado kitambo kidogo Yesu atakuja tena, utathibitisha. Ila atakapokuja utajuta kwa sababu atakuja kuwachukua na kuwapeleka mbinguni wale tu wanaoamini. Wasioamini wataachwa katika dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea tangu ulimwengu ulipoumbwa! For more info, read the BibleBaso nasubiria huo uthibitisho
Haya mahubiri kwangu ni nonsense
Umeelezea claims zako kumi....hizo hazidhibitishi mungu yupo zinaprove kwamba we huna maji so umempachika mungu...so si hatuna shida...shida yetu ni moja...unajuaje Yesu ndo kafanya hayo na sio Yahweh na Allah...na usiniambie ni mtu mmoja ...na ukitoka hapo unielezee unajuaje sio Zeus au Odin au Krishna ndo kafanya hayo sijui kuumba cjui nini...maana mi sijui jua limetoka wapi naweza kukuambia ni Osiris utabisha? So swala sio kujua au kutokujua...swala ni tupe evidence kwamba ni Yesu Kristo ...Sijakupata!
Unataka proof gani kwa kitu ambacho hakipo?Prove