Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Huyu hajui hata anachozungumza kuna watu wana amini japo hawana uthibitisho ,ukijadili nao tu unaweza kuendelea kuwasikiliza.
Amekariri
Anaogopa kuhoji
Ameambiwa ni dhambi
Anaogopa kwelikweli

Kwamba Tuamini kabla ya wazungu kuja Afrika hakukuwa na Mungu?
So Mungu huyu alichagua kuzungumza na weupe tu!
 
Ukishamaliza...relate hizo sababu kumi na kwamba mungu huyo ni myahudi aliyezaliwa miaka elfu mbili iliyopita palestina kwa bikira na akatenda miujiza na akafa akafufuka...na baadae atarudi na farasi mwenye mabawa.. na kuja kupeleka watu mawinguni na wengine motoni...

Maana DNA, Order in the universe, Sijui Nini hivyo ni evidence ya kwamba huna majibu...inabidi utoke hapo utuelezee jibu lake limekuwaje Yesu/Yahweh na sio Allah, Krishna, Zeus etc maana na wao wanaweza tumia hoja hizo hizo ambazo kwako hazina majibu kusema Mungu wao kafanya

Twende kazi
Unatumia akili nyingi sna kumuuliza mtoa mada hayo pia ni matumizi mabaya akili mkuu
 
Amekariri
Anaogopa kuhoji
Ameambiwa ni dhambi
Anaogopa kwelikweli

Kwamba Tuamini kabla ya wazungu kuja Afrika hakukuwa na Mungu?
So Mungu huyu alichagua kuzungumza na weupe tu!
Wa hivyo wala hakuna haja ya kuwajibu kwa kirefu.
 
Kwanza unadhani huyo Mungu angethibitishika vp yani uthibitisho wa kuwepo unatakiwa ufananaje?
Extraordinary claims require extraordinary evidence.

Uthibitisho unatakiwa uwe mkubwa na wawazi (extraordinary evidence) kwasababu madai yameelezea kitu chenye complex kubwa (extraordinary claims)
 
Extraordinary claims require extraordinary evidence.

Uthibitisho unatakiwa uwe mkubwa na wawazi (extraordinary evidence) kwasababu madai yameelezea kitu chenye complex kubwa (extraordinary claims)
Hebu nipe mfano wa aina huo ya uthibitisho mkubwa, kwamba mfano muonyeshwe huyo Mungu huko aliko mumuone kwa macho wazi wazi au kwa aina gani huo uthibitisho mkubwa wa wazi?
 
Ndio nauliza huo uthibitisho mnaoutaka ili mjue kiuhakika unadhani unajua unafananaje kweli? Ni kwa aina gani unadhani huyo Mungu anapaswa kuthibitishwa?
Nyie mmetokea mnasema ashukuriwe sijui yupo🤔 nafikiri mlipaswa mseme hapa ili kila mtu ajue kwa sababu nyie mnamjua sana kwa uhakika .
 
Nyie mmetokea mnasema ashukuriwe sijui yupo🤔 nafikiri mlipaswa mseme hapa ili kila mtu ajue kwa sababu nyie mnamjua sana kwa uhakika .
Sie tunaamini na hatuna shaka na tunachoamini ila nyie mliyojiwekea misimamo ya kwamba hamkubali kuamini hata iweje ndio mnakuja kutaka mpewe uthibitisho na si dalili au sababu za kuamini kuwa Mungu yupo.

Halafu usiseme kwamba sie tumetokea wakati hii misimamo ya kuamini au kutoamini Mungu ipo toka mababu zetu huko.
 
Kwanza unadhani huyo Mungu angethibitishika vp yani uthibitisho wa kuwepo unatakiwa ufananaje?
Sijui uthibitsho ungefanaje.

Ila nachojua Mungu angekuwepo basi angejua kwa hakika ni uthibitisho upi ambao ungeni satisfy mimi kukubali uwepo wake.
 
Sie tunaamini na hatuna shaka na tunachoami ni ila nyie mliyojiwekea misimamo ya kwamba hamkubali kuamini hata iweje ndio mnakuja kutaka mpewe uthibitisho na si dalili au sababu za kuamini kuwa Mungu yupo.

Halafu usiseme kwamba sie tumetokea wakati hii misimamo ya kuamini au kutoamini Mungu ipo toka mababu zetu huko.
Itokee mababu au isitokee hizo ni imani tu nazina rithiwa kwa mapokeo tu .
 
Sijui ni uthibitsho ungefanaje.

Ila nachojua Mungu angekuwepo basi angejua kwa hakika ni uthibitisho upi ambao ungeni satisfy mimi kukubali uwepo wake.
Sasa huo uthibitisho mnatudai sie sio Mungu, hivyo ndio maana mie nawauliza ni kwa njia gani unadhani Mungu anapaswa kuthibitishwa? Sasa ukisema hujui halafu hapo hapo unadi huo uthibitisho huoni inakuwa inaonyesha hilo ni tatizo maana unaweza ukaukataa uthibitisho kwa sababu kwanza haujui unafananaje.
 
Back
Top Bottom