Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Daud Bashite ana vyeti feki na alikamata unga akampa Le mutuz kwenda kuuza South Africa na china, je? na yeye ni miongoni mwa wanaompinga mtukufu magufuli?
Mafisadi wote ni wanaCCMWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Duh! Swali lako la kijinga, halina tofauti na la Mbunge Millinga aliyemuuliza Mbunge wa upinzani, " kama JPM anawafunga mdomo wapinzani kusema, sasa hapo umetumia nini kuwasilisha hayo malalamiko yako"?.Kama ameminya uhuru wa kuongea,je mbona wewe mleta mada umeongea?
Eti wewe naye ni mtetezi wa CCM na mtukufu magufuli? Wamekuokota wapi? Lini utaacha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni?Hizo ni porojo km zingine tu
Kipindi Daud Bashite katangaza List ya wauza Unga alipiga Blackmail kibao akawachukulia watu magari mali zao pesa na wengine wauzaji wa kweli akawachukulia Unga wao na kumpatia Le mutuz kwenda kuuza China na South Africa, hakuna siri chini ya jua, mchawi anaroga kwa kujificha hujulikana sembuse dili haramu zinazofanyika mchana kweupe, hakuna Malaika CCM wote wana madhambi makubwa makubwaMafisadi wote ni wanaCCM
Vyeti feki na ni CCM wakiongozwa na Bashite
Wauza dawa za kulevya ndio hao hao.
Sasa niambie kama huyo malaika mkuu mtarajiwa ana uwezo wa kukata tawi alilokalia!!
Anafuata tu mkumbo,hajui hata anachosifia mbuzi huyu jamaaHahahahahaaaaaa , naunga mkono Hoja yako mkuu tena kwa 100% hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anavikubali vitendo vya CCM ya sasa
Atapotezwa vibaya, Meko ni mwepesi kama karatasiAna udhaifu mkubwa sana kama binadamu, angewapa fursa watu waongee yamoyoni kwenye kipaza cha umma,siasa haina uhai tena kama awamu zilizopita hatusikii tena hoja za wanasiasa kwenye majukwaa kama anajiamini atoe tamko la mikutano ianze!!
Kweli..Atapotezwa vibaya, Meko ni mwepesi kama karatasi
Jiwe kajisahau, ameonja power sasa anaitaka yote hajui power ipo kwa wananchi wametulia tu ila siku wakisema no hana la kufanya. Ndiyo maana anatumia tactics kibao kupata wafuasi wengi mno, katumia dini, uchama, wengine kuwapa hela ovyo, na fukuza fukuza, na kwa kua racists kibao anatumia gia kua wazungu ni maadui zetu, u gotta admit jamaa influence yake ni kubwa mno. Kama mtu anapata ajali anasema anashukuru serikali ya magufuli unadhani kitu kidogo?Hakuna dikteta anayeishi milele. Wako wapi akina Iddi Amini, Mobutu Seseseko, Nguema, Bokassa??
Yupo wapi Robert Mugabe. Omar Bashir yuko gerezani. Je Jiwe anadhani ataishi milele?
Bashite na musiba wako kundi gani?Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
KUBWA J.I.N.G.A katika Ubora wake ! Hawa ndo walosomea UJINGA.Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha