kyle rothschild
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 208
- 322
Chuma gani kile? Labda nimfananishe na mgomba. Angekuwa chuma isingekuwa anazimia na kuanguka kifafa. Angekuwa chuma asingekuwa anaishi na betri (pacemaker).Mtatapika sana, chuma kimetulia Magogoni. Viva JPM, chapa kazi, Tanzania mbele kwa mbele.
Hapa pekee ndiyo namlaumu KIKWETE, yeye kama Mwenyekiti wa CCM na Mkutano Mkuu alipaswa kumchinjia mbali huyu shetani asifike kwenye last 5. Kweli JK amekuwa naye kwenye cabinet miaka 5 chini ya BWM na miaka 10 akiwa Boss wake yaani Rais, kweli alishindwa kujua tabia ya huyu afritiKitendo cha kumzuia CAG asikague madini, ATC, Tanroad inaonesha kuwa kuwa huyu ni mwizi sugu, toka alivyouza nyumba za serikali, ununuzi wa MV Bagamoyo na sasa ununuzi wa ndege kwa cash. eti mtetezi wa wanyonge, sijui wanyoge gani, na hawa watanzania mburura wanashangilia kama mazuzu!
Kama ameminya uhuru wa kuongea,je mbona wewe mleta mada umeongea?
Jibu hoja acha kuweweseka naona umeguswa penyewe.Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Bashote jeWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Misukule at work.Ujinga mtupu,
ZezetaHizo ni porojo km zingine tu
Wa Tanzania lazima tuhamasishane tutoke nyumbani tuingie mtaani tukamtoe huyu nduli Magufuri. Inawezekana kabisa kabisa kutoa wala tusiogope TPDF wala Polisi kwa vile siyo wengi kuweza kawazidi raia.
Tusipo ikomboa nchi yetu toka kwa dhalimu Magufuri, watoto wetu watakuta nimekwisha raslimali zote.
Hapa pekee ndiyo namlaumu KIKWETE, yeye kama Mwenyekiti wa CCM na Mkutano Mkuu alipaswa kumchinjia mbali huyu shetani asifike kwenye last 5. Kweli JK amekuwa naye kwenye cabinet miaka 5 chini ya BWM na miaka 10 akiwa Boss wake yaani Rais, kweli alishindwa kujua tabia ya huyu afriti
Mkuu tunasumbuka na wengi shule za kata ni mwendo wa kusomea ujinga tu ili kuzalisha majinga wengi ambao ndio mtaji mkuu wa ccm ambao rahisi sana kuwatawala.KUBWA J.I.N.G.A katika Ubora wake ! Hawa ndo walosomea UJINGA.
LINASHINDWA KUJIBU HOJA ZA MTOA UZI!!!
HONGERA KWA KUCHAGUA UJINGA!!😂😂
Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha