CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
hii nchi bhana, akienda JIWE nako watu watajaa zaidi ya hao...
Sema Wa jiwe wengi wanaletwa kwa kusombwa na malori,ila Wa huyu wanakuja wenyewe kwa miguu yao.hiyo ndo tofauti ..hii nchi bhana, akienda JIWE nako watu watajaa zaidi ya hao...
Kuna bandiko lako zuri sana kule, limemnyong’onyesha mwandishi mbobezi, Bwana Njaa! Naomba usituharibie ladha Sisi mashabiki wako wa leo! Tumejiandikisha, na tutapiga kur!Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Kuna bandiko lako zuri sana kule, limemnyong’onyesha mwandishi mbobezi, Bwana Njaa! Naomba usituharibie ladha Sisi mashabiki wako wa leo! Tumejiandikisha, na tutapiga kur!
Umati wa Magufuli unakwenda kusikia singeli za akina Sholo Mwamba na bongo fleva za akina Chege.Umati wa magufuli wamejiandikisha ila kwa lissu hawajajiandikisha au sio.partisanism distort mental ability.....
Ni kweli umempiga jamaa kama humjui! Saa hizi amelala tu na njaa zake!'Nimecheka' sana tu Mkuu.
Kwa mujibu wa tume watu zaidi ya milioni 29 wamejiandikisha kupiga kura, hiyo ni almost nusu ya watanzania wote wanaokadiriwa kuwa around 60m.Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Howhii nchi bhana, akienda JIWE nako watu watajaa zaidi ya hao...
Mkuu tindo almost tumefanana mawazoKwa mujibu wa tume watu zaidi ya milioni 29 wamejiandikisha kupiga kura, hiyo ni almost nusu ya watanzania wote wanaokadiriwa kuwa around 60m.
Sasa kama wengi wa hawa wanao hudhuria mikutano ya Chadema hawajajiandikisha, basi hili taifa lina watu wa reserve ambao hatunao kwenye takwimu zetu.
Mkuu wapiga kura kwa mujibu wa tume ya uchaguzi wako 29m+. Watanzania tuko 59m+, yaani wapiga kura ni nusu ya watanzania wote, yaani kila watanzania wawili mmoja kajiandikisha kupiga kura! Kwa maneno marahisi hakuna mtu aliye juu ya miaka 18+ ambaye hajajiandikisha kupiga kura.
Sasa hapa ni aidha ukubali kuwa tume ya uchaguzi imepika data za wapiga kura, au ukubali kwa shingo upande kuwa wote hao wana vitambulisho vya kura. Iwapo utakubali kuwa idadi ya wapiga kura ni 29m+, basi hoja yako kuwa watu hawana vitambulisho inakufa natural death. Na iwapo itabidi ukatae hiyo idadi ya tume kuwa ni ya kupika, basi hata matokeo watakayotangaza yatakuwa ya kupika. Hiyo inaitwa ukikaa nchale, ukisimama nchale. Habari ndio hiyo mtani. Iwe iwavyo, huu ni udhibitisho kuwa ccm haina uwezo wa kushinda uchaguzi wowote kihalali nchi hii zaidi ya 55%.
Na 'aliyekuleta' hapa duniani kupitia 'Wodi' ya 'Uzazi' Yeye 'alipona' lini labda hili tatizo?
Ni kweli kabisa wanaosombwa na malori 80% ni wapiga kura ya Urais hasa wa chama tawala.Ila wanaosombwa na mafuso ya chama wamejiandikisha wote sio?
Wewe nawe bongaz kweli, hivi kati ya 2015 na 2020 hakuna vijana waliofikia umri wa kupiga kura? Tanzania bado tuna vichaa wengi mno kama wewe.Watu walijiandikisha 2015 mnataka Tena wajiandikishe mala ngapi?
Yaani kila mtu anacho kitambulisho chake
[emoji38][emoji38][emoji38] ganja bana!Nilichokiona Mbeya leo Sugu atasubiri sana kushinda
Inakuuma boss !!!Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Wanatolewa hukooo na malori kwa kila aina ua isafiri kwa hiyo hawatushughulishihii nchi bhana, akienda JIWE nako watu watajaa zaidi ya hao...
Unakuja na ule ujanja wa kizamani kabisa ukidhani unaweza kumwokoa Magufuli asiangukie pua? Ona ameanza hata kupaniki akisema nipeni tena miaka mitano muone maajabu. Maajabu gani mbona hii miaka mitano inayoisha ameichakaza nchi na kubaki hoi bin taabani?ni rasmi wewe hauna ubongo
Mlilazimisha WANYONGE kusajili line za simu kupitia vitambulisho vya kupiga Kura kabla ya mwanzoni mwa mwaka huu kuanzisha Lile dudu linaitwa Nida,wananchi walijiandikusha sana na kupata vitambulisho vya NEC,Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Sawa m/kiti wa Tume ya uchaguziPamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
waliojiandikisha mwaka 2015 wote wamekufa ? maana 2015 mgombea wa Chadema alipata kura zaidi ya mil 10 dhidi ya mil 3 unusu za mgombea wa ccm , hii siri Kikwete , Kinana , Nape na January wanaijua , sasa mwaka huu ccm imechokwa zaidi hali itakuwaje ?Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.