Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
997
Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata wateja kwenye shughuri unayofanya hivyo utafanikiwa.

Injili ya Mathayo 6:33

“Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.”

2.Kuwa mtu wa nidhamu na kufanya kazi kwa bidii, unapokuwa na nidhamu kwenye maeneo mengi kama fedha, Muda, watu unajipa nafasi ya kufanikiwa, Mwanaume mwenye nidhamu kwenye maisha yake ni rahisi kuaminiwa na fursa kumfuata.

3.Mkomavu wa kihisia(emotional intelligence)
Mwanaume unatakiwa uwe na uwezo wa kuzui hisia zako utajipusha na mambo mengi kama ugomvi, ulevi, matusi, ngono , mtu ambaye aendeshwi na hisia anakuwa na nguvu maana uwezi kumu control(kumuendesha), mfano mapenzi ayawezi muendesha pia inafanya akili kutulia hivyo inakupa nafasi ya kufanya maamuzi sahihi kwenye maisha.

4.kuepuka na watu wasio sahihi mfano marafiki, mazingira, ndugu, ili uweze kufanikiwa na kuwa mtu mwenye nguvu ni lazima uepukane na watu wasio kusaidia kufikia ndoto zako, Mazingira au marafiki yana mchango mkubwa kwa mtu kupiga hatua kwenye maisha, ukiwa na watu sahihi mindset yako inabadilika hivyo utaanza kuona fursa katika jamii.

5.kuepuka tabia zisizokujenga , mfano ulevi uliopitiliza, kuangalia picha au video za ngono, kufuatilia umbeya hivi ni vitu vinapoteza energy yako au nguvu mwisho unapoteza maana ya maisha, Vitu hivi vinakuburudisha kwa muda mfupi lakini vinaua ndoto zako, muda, afya kumbuka Mwili wako ni lango la bwana(temple of God) hivyo unapohuaribu au kulisha vitu visivyofaa una alibu roho yako pia ni rahisi kushambuliwa na dark energy

6.kuwa Mtu wa shukrani(gratitude), unapokuwa na shukrani unavuta baraka kubwa zaidi pia unajenga amani ya moyo, amani ya moyo inakupa utulivu hivyo unapelekea kufanya maamuzi sahihi katika maisha.

7.kujifunza au kutafuta maarifa, Mwanaume ambaye anatumia muda mwingi kutafuta maarifa zaidi anajiongezea nafasi ya kufanikiwa zaidi maana dunia inabadilika kila siku hivyo inaitaji pia mwanaume kubadilika kimaarifa, Tumia mitandao kama youtube kujifunza maarifa na hii itakufanya kupata fursa nyingi zaidi.

8.kuepuka tendo la ndoa na watu wasio sahihi au( life partner) ngono ni tendo la kiroho hivyo unapofanya na watu wengi una share generation trauma kwenye maisha yako kama hofu, stress, umaskini, ujinga hii itakupoteza kwenye ndoto, wito au kukuangusha kabisa kwenye maisha yako.
 
Yote hayo kama huna pesa ni bure. Tafuta hela.
 
Cha kushangaza maisha hayana principles za namna hiyo, unaweza fanya vyote ila wenye nguvu na mafanikio wakawa ni wale watu hawafanyi vyote hvyo

Mi tokea nilivyoona watu wanakesha kanisani kuomba na hawajapewa mpaka leo mmh
ukiona hivyo kuna mambo bado wanakosea , Mungu mtafute private na sio public, Hatakusaidia kwenye mambo yako
 
1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata wateja kwenye shughuri unayofanya hivyo utafanikiwa.
Ulipoanza tu na Mungu nimeishia hapa hapa
 
Back
Top Bottom