Wale wa mfumo dume labda wanataka Samia aanzishe usafiri wa kwenda sayari ya Mars na kurudi ndio waone kuwa amefanya la maana angalau moja tu. Utasikia wanaongelea jinsia yake badala ya ufanisi wa kazi anayofanya.Mbona umeweka mambo machache wakati ni zaidi ya 50?
Ingia kwenye account ya mama yuko kazini utayakuta lundo na JF itazidiwa.
Kumbe huyu mpuuzi anafikisha miaka miwili hivi punde for nothing[emoji848][emoji848]1. Rais Samia amewezesha kuondolewa kodi (Zero rating) kwa mbolea inayozalishwa hapa nchini na mahitaji mengine muhimu ya wakulima kama vile mbegu, vifaa katika mashamba ya maua na mbogamboga n.k
2. Rais Samia amewezesha Kuondolewa kwa kodi katika malighafi zinazotumika kutengeneza mitungi ya gas hapa nchini ili kuchagiza matumizi ya nishati mbadala yenye gharama nafuu na inayotunza mazingira. 3. Rais Samia amewezesha kuondolewa kwa kodi zinazohusisha vifaa/mahitaji muhimu ya viwanda vya usindikaji wa nyama, maziwa na samaki.
4. Rais Samia amewezesha Mamalaka kama TRA kuwekeza katika teknolojia ili mambo kama kuhakiki madai ya ritani za VAT yafanywe kidijitali. Hii inalenga kuwezesha sekta binafsi kupewa stahiki za madai yao kwa wakati.
5. Rais Samia amewezesha kutambuliwa rasmi kwa njia mbadala za kifedha. Hii imelenga kuhakikisha ujumuishi katika huduma za kifedha kwa wananchi(Financial inclusion).
6. Rais Samia amewezesha asilimia 5 ya mapato ya Halmashauri kutumika kuboresha miundombinu ya wajasiriamali ili kuwawezesha wafanyabiashara ndogo ndogo kujikwamua kiuchumi. Rais Samia Suluhu amethibitisha kuwa kiongozi mwenye uwezo mkubwa na mwenye maono makubwa ya kiuongozi.
Mungu mlinde Rais wetu.
Tatizo la watanzania hata uwafanyie nini lazima watalalamika tu Rais Samia Suluhu amesikia kilio chetu ndio maana anafanya jitihada za kupunguza makaliTozo, tozo tozo na gharama za maisha kupanda kila siku, bei ya bidhaa kupanda kila siku.
Huyu mama hakuna kitu.
For nothing? haujaona Elimu bure, maji safi mpaka vijijini, Umeme mpaka vijijini pia ametoa ajira za kutosha na mengine mengi amefanya nikiorodhesha hapa tutakeshaKumbe huyu mpuuzi anafikisha miaka miwili hivi punde for nothing[emoji848][emoji848]
Unaakili sana aisee ndio maana Rais Samia Suluhu alisema wale wenye akili ndogo hawawezi kumuelewa lakini sisi tuliobarikiwa akili za kutosha aisee tunamuelewa sana mama amefanya mambo makubwa sana ikiwemo miradi mikubwa kamaliza kwa kipindi kifupiWale wa mfumo dume labda wanataka Samia aanzishe usafiri wa kwenda sayari ya Mars na kurudi ndio waone kuwa amefanya la maana angalau moja tu. Utasikia wanaongelea jinsia yake badala ya ufanisi wa kazi anayofanya.
Rais Samia Suluhu amefanya mambo mengi sana nikisema niandike yote tutakeshaMbona umeweka mambo machache wakati ni zaidi ya 50?
Ingia kwenye account ya mama yuko kazini utayakuta lundo na JF itazidiwa.
Rais Samia yuko very straight hana propagandaRais Samia ameondoa janjajanja kwenye tumbaku na Pamba,
Sasa sio sahihi kuweka heading hivyo harafu unakuja na tuvitu tu 3.Rais Samia Suluhu amefanya mambo mengi sana nikisema niandike yote tutakesha
Elimu bure imeshafutwa acha upumbavu ..pia tumeshuka kutoka uchumi wa kati na tunazidi kuporomoka kwa kasi ya 5g mama kila siku ana hitisha vikao ikulu na kulalamika na viongozi wake kwa siri .. hali ni mbaya sasa hivi hadi mishahara pesa ni mkopo....serikali imefirisika kama uniamini subiri 2024 utajua ninacho kuambia.For nothing? haujaona Elimu bure, maji safi mpaka vijijini, Umeme mpaka vijijini pia ametoa ajira za kutosha na mengine mengi amefanya nikiorodhesha hapa tutakesha
kwaiyo hakuna elimu bure ivi unajielewa kweliElimu bure imeshafutwa acha upumbavu ..pia tumeshuka kutoka uchumi wa kati na tunazidi kuporomoka kwa kasi ya 5g mama kila siku ana hitisha vikao ikulu na kulalamika na viongozi wake kwa siri .. hali ni mbaya sasa hivi hadi mishahara pesa ni mkopo....serikali imefirisika kama uniamini subiri 2024 utajua ninacho kuambia.
Ccm ni [emoji117][emoji90]
Acha upumbavu ukumsikia mwenyewe akisema sasa hivi siyo elimu bure ni elimu bila adakwaiyo hakuna elimu bure ivi unajielewa kweli
elimu bure kutoka primary mpaka advance na wanafunzi wa kidato cha sita watakao faulu vizuri masomo ya sayansi watapata scholarship afu unasema hakuna pesa fatilia vizuri kabla ya kuongea
Kati ulivyosema.. hakuna hata kimoja ambacho bei ilishuka...1. Rais Samia amewezesha kuondolewa kodi (Zero rating) kwa mbolea inayozalishwa hapa nchini na mahitaji mengine muhimu ya wakulima kama vile mbegu, vifaa katika mashamba ya maua na mbogamboga n.k