edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
- Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
- Quran ipo moja tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
- Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
- Yesu kufufua mtu amekufa siku 3[emoji23][emoji23][emoji23]huyo mtu alikua amezimia
- Yakobo kumpiga mweleka Mungu.. Hizo ni ndoto za kutisha, Yakobo alitoa
- Musa kugawanya bahari ya Shamu [emoji23][emoji23][emoji23]alituonaje hivi
- Muhamadi kuupasua mwezi vipande viwili 😂😂😂😂
- kupata kwa jua au mwezi ni ishara kutoka kwa Allah. 😂😂😂 akwaambia wafuasi wake wasali sana iliviachane 😂😂😂😂
- jua huwa linaenda kuomba ruhusa kwa allah lichomoze mashariki ila siku ya mwisho litakataliwa kwa hiyo litachomoza magharibi. Mtume hapa alikuwa sijui amepata kilevi.
- kitabu cha daniel eti walitupwa tanuru la moto na hamna aliyeungua 😂😂😂 labda walikua wanaota moto