Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Bado hujathibitisha Mungu yupo, unatoa kauli ya kiimani tu kuhusu uwepo wa Mungu.Sayansi haijawahi leta mambo tofauti na ambayo tayari yalishawahi kuwepo.
Kwenye bible tunasoma wavuvii.
Meli zilishawahi kuwepo.
Commercial airlines kimaumbo hazitofautiani na ndege wa kawaida.
Nguvu za kinyuklia pia zipo kwenye bible.
Sayansi ni imitation of God's creation.
Kuna siku niliwahi fanya research.
Nilichukua specie ya ndege , nikachora ili kuja na aina ya commercial airline, nilivyoweka ile design nikaona kuna majaribio yapo pending kudesign ndege kama hiyo.
Nika conclude kuwa sayansi huwa wanakopi uumbaji ambao tayari upo.
Bado hujaondoa contradictions kwenye dhana ya kuwepo Mungu, kama hata unazielewa.
Mimi nakwambia thibitisha Mungu yupo.
Nakwambia ondoa contradictions katika dhana ya Mungu kuwepo.
Wewe unanijibu sayansi inageza uumbaji wa Mungu.
Umeelewa hata swali langu ni nini?