Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

Bado hujathibitisha Mungu yupo, unatoa kauli ya kiimani tu kuhusu uwepo wa Mungu.

Bado hujaondoa contradictions kwenye dhana ya kuwepo Mungu, kama hata unazielewa.

Mimi nakwambia thibitisha Mungu yupo.

Nakwambia ondoa contradictions katika dhana ya Mungu kuwepo.

Wewe unanijibu sayansi inageza uumbaji wa Mungu.

Umeelewa hata swali langu ni nini?
 
Hilo swala pia lilitimia, kwasababu kabla ya kufa,mtume Yohana alipewa maono na Yesu juu ya ufalme wa Mungu na Yesu akiwa mfalme,soma kitabu cha ufunuo,kimejaa mambo mengi yanayomwonyesha Yesu ni mfalme
 
Hilo swala pia lilitimia, kwasababu kabla ya kufa,mtume Yohana alipewa maono na Yesu juu ya ufalme wa Mungu na Yesu akiwa mfalme,soma kitabu cha ufunuo,kimejaa mambo mengi yanayomwonyesha Yesu ni mfalme

Hapana.

Mnaungaunga tafsiri mnazotaka wenyewe.

Kimsingi Yesu aliwaambia wale watu kwamba hawatakufa kabla yeye hajarudi tena duniani. Mwisho wa dunia.

Sasa hivi zaidi ya miaka 2,000 Yesu hajarudi, na mtasubiri sana harudi.
 
Mbona umeongelea upande mmoja?
Halafu unaweza thibitisha kuwa ardhi na mbingu hazipo saba?
Mtaendelea.. We Yesu kutuambia kufufua waliokufa [emoji23][emoji23][emoji23]hilo jambo haliwezekani mtu akifa amekufa... Kama sio hivyo alikuwa amezimia tuu
 
SAYANSI ULIPATAGA ZIRO . KWELI KWENYE DUNIA ARDHI INA LEYA SABA. NA View attachment 2877209View attachment 2877210
Haya hapo hapo kwenye hizo mbingu saba mbingu ya kwanza ndio ina jua na mwezi na nyota [emoji23][emoji23][emoji23]zionyeshe hapo... Kujaribu kutetea dini ni kujichimbia kaburi.

Mtume alienda mbinguni mbingu ya kwanza akakuta geti[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka mbingu ya saba ndio akuktana na Allah haya hiko kiti kikuwapi
 
Hapana Yesu hakudanganya,
.
Una uhakika?.🀣

Yohana 14:9
Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba.
🀣🀣🀣
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.🀣
 
.
Una uhakika?.🀣

Yohana 14:9
Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba.
🀣🀣🀣
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.🀣
Unafaham maana ya lugha ya picha au kwako kiswahili ni lugha ngumu kuielewa? Alichomaanisha ni kuwa matendo yake na Kila kitu alichokifanya vilikuwa sawasawa na mapenz ya Babaake,yani mtazamo,kusababu,mwenendo na Kila kitu anchofanya ni sawa au vinapatkana 100% na jinsi Babaake anavyotaka iwe na sio muonekano wa sura au mwili
 
Hapana.

Mnaungaunga tafsiri mnazotaka wenyeee.

Kimsingi Yesu aliwaambia wale watu kwamba hawatakufa kabla yeye hajarudi tena duniani. Mwisho wa dunia.

Sasa hivi zaidi ya miaka 2,000 Yesu hajarudi, na mtasubiri sana harudi.
Hakuna nnapoungaunga ila ww ndio unauelewa mdogo wa kimaandiko,kati ya wale mitume,Yohana alimuona Yesu akirudi katika ufalme kwenye maono aliyopewa katika kitabu Cha ufunuo,nikuulize kwanza Yale maono ya kwenye kitabu Cha ufunuo aliyoyaona mtume Yohana alipewa na nani?
 

Kwa mawazo ya haraka haraka unaweza kuona unatetea uwepo wa Mungu, lakini hoja yako, tukiichunguza kwa mantiki ya kina, inaonesha zaidi kwamba Mungu huyo hayupo.

Mimi hupenda kufanya "immanent critique". Yani, sikukatalii unayoyasema, lakini, hata nikikukubalia, bado umekosea tu na kukukubalia kwangu kunaonesha umekosea zaidi.

Kwa mfano wako. Sikukatalii kuwa inawezekana mimi nakosea kusoma maandiko na siyajui vizuri.

Unaelewa kuwa hata kama kweli mimi nina uelewa mdogo wa maandiko, hilo nalo linathibitisha Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo?

Unaelewa kwamba, katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, hakutakiwi kuwepo hata na mtu mmoja mwenye uelewa mdogo wa maandiko?

Unaelewa unaposema "wewe una uelewa mdogo wa maandiko" kimsingi unasema "Mungu huyu hayupo" kwa maneno tofauti tu, lakini mantiki iko pale pale unakanusha uwepo wa Mungu?

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aumbe ulimwengu ambao kuna watu hawatakuwa na uwezo mkubwa wa kuelewa maandiko, ikiwa aliweza kuumba ulimwengu ambao kila mtu anaelewa maandiko vizuri tu?

Unaelewa mantiki ya kina kirefu katika hoja zangu hapa?

Unaelewa contradiction uliyojifunga kwayo hapa?
 
Waumini,Wasio wafahamu walau hata kwa uchache Watu kama Bart d.Ehrman,James kugel na Richard Elliot Friedman.

Watakushambulia wakisema wacha kusoma maandiko Juu,soma ukiwa na roho mtakatifu,na blah-blah kibao.

Na hii ya Second coming Ya Jesus,Unyakuo na End of Time imeleta balaa na inaendelea kuleta majanga na balaa.

Hapa nipo naburudika na wimbo wa "Around the corner Jesus coming" by Mtoni Evangelical choir.
 
Mkuu James Kugel umemjulia wapi wewe? Umekisoma "How To Read The Bible: A Guide To Scripture, Then and Now" ?

Profesa kaandika kitabu cha kisomi sana, sema waumini wanasoma?
 
Mkuu uelewa kumhusu Mungu unapaswa kuutafuta,,Methali/Mithali2:4,5"Ukiendelea kuutafuta kama fedha,Na kuendelea kuutafuta sana kama hazina zilizofichika;Ndipo utakapoelewa kumwogopa Yehova,Nawe utapata ujuzi kumhusu Mungu" Kwaiyo mkuu kuutafuta ukweli kumhusu Mungu ni jukumu lako usisubiri ufanyiwe, ndiomaana alituumba tukiwa na uhitaji wa kiroho
 
Nyinyi wagalatia mnadanywa sana Hadi mmekuwa kama matahira wa kihindi

Quran ipi inayolazimisha watu waiamini?

Mbona Quran inasema hakuna kulazimishana katika dini

Yani wewe ukitaka iamini Quran kama hutaki endelea na maisha yako ya Kigalitia na Muislam akikushikia panga Ili uiamini Quran automatically anakuwa sio Muislam maana anakuwa anapingana na Quran

Quran 2:256 -
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
 
Kiranga: "Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao uelewa wa kuhusu Mungu inabidi tuutafute? Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao uelewa kuhusu Mungu upo tu by default bila hata kuutafuta?"

JKalevela: "Uelewa kumhusu Mungu unapaswa kuutafuta".

Tuachane na uelewa wa kumhusu Mungu, twende kwenye uelewa kuhusu swali langu.

Hivi hata swali umelielewa wewe?
 
Hiyo ardhi saba na mbingu saba kwenye Qur'an mapoyoyo wengi hamuelewi maana yake.

Hamuelewi ni nini maana ya lexicon au "locution" kwa Kiarabu "lisan" yaani Kiswahili chake neno kwa neno ni "ulimi".
Watafsiri Wengi wametafsiri neno kwa neno lakini siyo maana kusudiwa.

Ni sawa na kijana wa Dar anaposema "ntakukata mtama'. Huo mtama anaokujata uko wapi?

Umeshawah7 kukisikia kisa cha tajiri na masikini na nyama ya ulimi?

Kama umekisikia basi epewa kuwa maneno yaliyotafsiriwa neno kwa neno kutafsiri "ardhi" na "Mbingu" hayakuwa na maana hiyo kabisa.


Huo ndiyo muujiza mmojawapo wa Qur'an, kilugha, ilipoongea habari za Ibrahim ikatumia "lexicon" na "locution" ya Ibrahim, halikadhalika kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…