Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

Mkuu nimefurahi sana kusikia kuna mtu mwingine JF kasoma kazi kama hizi, hususan Kugel.

Yani umenitoa katika upweke fulani mara nyingine naona kama naongea mambo ninayoyaelewa mwenyewe tu, nataja ma scholar ambao hakuna mtu anayewasoma au hata kuwajua.
 
Mavi ya mama'ko?

Siwezi kukuuliza kama ni ya baba'ko kwa kuwa nnaamni haumfahamu.

Hakuna aliyelelewa na baba'ke mwenye lugha yako.
Umethibisha umavimavi wako kwa kujibu kwa hisia kali.Ngoja niondoke usije ukajitoa muhanga.
 
Aliyeambiwa hayo manen
 

Pamoja na kuwa mimi ni muumini wa mrengo Tofauti ila nakubaliana na wewe kuwa, hakuna mtu aliyempinga Yesu, TATIZO ni watu kutafsiri kauli zake kwa kupotosha au kwa ajili ya kupata ujumbe wanaoutaka wao....Na hapo ndipo siku za MWISHO Yesu atakapo wakana wengi wanaojiita wafuasi wake kuwa HAWATAMBUI!!!
 
Kilanunachoandika kuhusu Qur'an au mafundisho ya Kiislam weka na ushahidi wa ulipoyatowa kwenye Qur'an ili tukuelimishe, bila hivyo itabaki kuwa ni uongo wako tu.
Jua linazama matopeni.
 
Kwa uchache.

Surah 3:151: "We shall cast terror into the hearts of those who disbelieve (all non-Muslims) ..

Surah 2:191: "And kill them (non-
Muslims) wherever you find them. ..kill
them. Such is the recompense of the
disbelievers (non-Muslims).'

Surah 9:5 And when the forbidden months have passed, kill the idolaters wherever you find them and take them prisoners, and beleaguer them and lie in wait for them at every place of ambush. But if they repent and observe Prayer and pay the Zakat, then leave their way free. Surely, Allah is Most Forgiving,
Merciful.


2. Twende kwenye hadith

Sahih Bukhari (52:260) -"...The Prophet said, 'If somebody (a Muslim) discards his religion, kill him."

Sahih Bukhari (83:37) - "Allah's Apostle never killed anyone except in one of the following three situations: (1) A person who killed somebody unjustly, was killed (in Qisas,) (2) a married person who committed illegal sexual intercourse and (3) a man who fought against Allah and His Apostle and deserted Islam and became an apostate.

Sahih Bukhari (84:57) - In the words of] "Allah's Apostle, 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.""

Sahih Bukhari (89:271) - A man who embraces Islam, then reverts to Judaism is to be killed according to "the verdict of Allah and his apostle.'

Hii ndio dini ya Allah
 
Mkuu hapa uliingia chaka.

Ukisoma kuanzia mistari ya nyuma kidogo utaona Yesu alikuwa anazungumzia Mtini.

Kwamba ukiona mtini umechipuka na kuota basi yupo karibu na kurudi kwake.

Kibiblia taifa la Israel ndio mtini wenyewe na ulichipuka tena mwaka 1948 baada ya taifa hilo kuharibiwa mwaka 70AD.

Sasa, taifa la Israel litafikisha miaka 100 ifikapo mwaka 2048 na hicho kitakuwa ni kizazi kimoja.

Yesu alisema kizazi hicho hakitapita kabla unyakuo haujatokea.

Kwahiyo ndani ya miaka 24 hii uwe makini na ni heri ukaupokea wokovu wa Kristo Yesu.

Pitia mada yangu hii uendelee kuelimika Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea
 
Aiseeee, Yesu hana kizazi wewe. Yeye ni wa Milele ndio maana aliwaambia Kabla ya Ibrahimu kuweko yeye alikuwepo akasema "Kabla ya Ibrahimu mimi NIKO"
 
Kwa hiyo kwa maelezo yako, kipindi cha mtume makka na madina kwenye utawala wao ukiwa kafiri unauliwa kwa sababu ya imani yako?
Kwa nini mnapenda kuchukua aya moja kisha mnaikata?



Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.
(Qur'an 2:190)
 

Wakati akisema haya ulikuwepo? Mbona unaongea kwa uhakika sana
 

Upo subjective
 
Vilaza huwa hawajui kuwa Sayansi huwa inaiga uumbaji wa Mungu.

Wanasayansi huwa ni matapeli tu.

Mungu alishafanya kila kitu.
Toka nijiunge jf hii ndo coment angu pekee uliyocomment imeshiba ..
Nakubaliana nawe 100 kwa 100..
Yes nimeisoma qur an well na sasa nasoma biblia well(agano la kale)
Kwa mkutadha wa niliyoyasoma Mungu alimaliza kila kitu..
Wanaadamu wanatudanganya sanaa hasa kwa kuweka mambo katika mfumo wa codes na kupachika majina yao kipekee.
 
Hapana.

Mnaungaunga tafsiri mnazotaka wenyeee.

Kimsingi Yesu aliwaambia wale watu kwamba hawatakufa kabla yeye hajarudi tena duniani. Mwisho wa dunia.

Sasa hivi zaidi ya miaka 2,000 Yesu hajarudi, na mtasubiri sana harudi.

Sure , Na hili ndio tatizo kubwa la dini zote ;

kama kitu haki make sense , watatafuta njia ili kimake sense.

This is what we call cognitive dissonance, even if they’re presented with facts They will ridicule for as long as it doesn’t suit their faith .

Ni Tatizo kubwa

Tena wakati mwingine watakuambia ooh ili kuelewa hili, you need Roho mtakatifu, huwezi kuelewa kwa akili ya kawaida.

What the hell !

Truth is simple and clear, it has to be understood in a very simple way .anything that requires ROHO MTAKATIFU to be understood, hiyo ni aina nyingine ya deception and manipulation


1+1 =2 , it does not equal to anything else hata kama kukiwa na majibu 100 tofauti but one plus one is equal to two .

Problem of religion and faith
 
Mkuu James Kugel umemjulia wapi wewe? Umekisoma "How To Read The Bible: A Guide To Scripture, Then and Now" ?

Profesa kaandika kitabu cha kisomi sana, sema waumini wanasoma?
Ntakisoma hiki kitabu
 

Naam.

Katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ugumu katika kumuelewa huyo Mungu una contradict uwepo wa huyo Mungu.

Yani ni hivi, katikanulimwengu huo, haitawezekana kuwapo na mjadala wowote kuhusu uwepo wa Mungu.

Kwa sababu, kila kiumbe kitajua Mungu yupo bila hata chembe ya shaka, kwa uhakika.

Ukiona mjadala wowote kuhusu uwepo wa Mungu huyu, huo ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo, mjadala huo usingewezekanankuwepo.

Kwa hiyo, hata huu uzi ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.

Angekuwapo, uzi huu usingewezekana kuwapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…