Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
1000074675.jpg

Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!

1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂

2. Kupika dagaa wana vichwa..

3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa sangara..ilikuwa dalili ya umaskini wa kutupwa

4. Kwenye sherehe watu kula na maharage bila kaugali na nyama 🤣😂 hii itaingia kwenye rekodi ya sherehe mbaya 😂🤣

5. Kumuuliza mgeni kama hajala umpikie.... aisee atasimuliwa na kutangazwa kijiji kizima

6. Mwanaume kuuliza mke wake kama ile mboga aliyoleta asubuhi imekwisha... hii ilikuwa dalili ya gubu na uchoyo 😂🤣

7. Kula maharage kama mboga... maharage yalikuwa yanaliwa kama snacks tu wakati mnasubiria chakula 🤣😂

Hebu tuambie huko kwenu ni mambo gani mtu alikuwa akifanya anaonekana wa ajabu...!?
 
View attachment 3664234

Acha exageration, usukumani kuna umaskini mkali tu tena hichi kipindi cha kiangazi hakuna mboga ya maana, hakuna mtu anaweza kupika nyama kila siku. Hiyo nyama yenyewe usukumani labda imebaki story
 
Kabila langu kumpikia mgeni chakula au kwenye sherehe kuweka menu bila kisamvu cha karanga/mawese unaonekana mchoyo.
 
Acha exageration, usukumani kuna umaskini mkali tu tena hichi kipindi cha kiangazi hakuna mboga ya maana, hakuna mtu anaweza kupika nyama kila siku. Hiyo nyama yenyewe usukumani labda imebaki story
Na ziwa halitoi samaki, migodi haitoi madini?
Pwani mnafirwa sababu hamna resources.
Almasi haipatikani Chalinze,
Dhahabu haiko CHALINZE
Ila Wasukuma wapo CHALINZE, myie ni Makebo kabisa
 
Back
Top Bottom