Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

Huko kwetu ilikuwa kula ugali ni dalili ya umasikini na maisha kuwachapa sana. Ila kwa sasa ugali na wali ndio kimbilio migomba imenyauka ndizi bei hazishikiki kwa sasa watoto wa kizazi hiki wanapenda ugali kuliko ndizi maana wameuzoea.
Tuwapime nguvu za kiume
 
Kabila langu kumpikia mgeni chakula au kwenye sherehe kuweka menu bila kisamvu cha karanga/mawese unaonekana mchoyo.
Kisamvu? Mboga duni zaidi duniani isiyo na viini lishe vyovyote zaidi ya kujaza tumbo. By the way imethibitika kinaleta udumavu wa akili.
 
Ukinawa mikono baada ya kula ugali watakushangaa sana
 
Nimekuwa nikisoma reply zako kwenye post na thread za watu mbalimbali. Nilichojifunza kutoka kwako, twatakiwa kukisaidia vitu viwili,
1. Matibabu ya changamoto ya afya ya akili inayokupelelea kuwa na chuki na watu wote.
2. Tukupe pesa. Ufukara unakumaliza
pumbavu kweli wewe, huna kazi ya kufanya unafatlia watu humu ndio maana umo kutwa kuandika ujinga unjinga
tafuta shughuli ya kufanya mpuuzi wewe choka mbovu
 
Utoto anakusumbua.Hadi unamuona mtu kila muda wewe unakuwa sehemu ipi?Acha utoto.
mpuuzi wewe hata nisipokuwepo humu siku kadhaa nikiingia tu na mada ya kwanza kufungua ni nakukuta mbulula ushaweka kigoda, sad loner ,
 
mpuuzi wewe hata nisipokuwepo humu siku kadhaa nikiingia tu na mada ya kwanza kufungua ni nakukuta mbulula ushaweka kigoda, sad loner ,
Una msongo wa mawazo/sonona tupu.Ukiingia JF lazima uangalie wazee wako kama tupo!?Makeboooo!
 
Kavulana una maneno kama kikundi cha wacheza vigodoro!Utapata shinikizo la damu bure.Tulia.
nilivyosema kafe mbele maana yake potea, ila ulivyo na maisha ya sonona unaendelea kunikwoti undeleze chitchat mbulula wewe, nasema kafe mbele potea tutusa wewe
 
Back
Top Bottom