Olmo
JF-Expert Member
- Jun 21, 2026
- 1,213
- 2,198
Ngwekwe mzeeHaha haha
Kuna kitu kinaitwa ngekwe, nilimpa demu mimba, nikaambiwa nilipe hayo makitu
Ngwekwe mzeeHaha haha
Kuna kitu kinaitwa ngekwe, nilimpa demu mimba, nikaambiwa nilipe hayo makitu
Mkianza kula FURU, baba hupati u hausiMwendo wa misusa na chumvi nyingi
Nitajiwa Mbuzi 17, nikaona hawa wananiona mimi Tlaatlaah ?Ngwekwe mzee
Makebo kama makebo njoo huku Lumumba wameshaanza kugawa posho kwa ajili ya kazi ya jumatatu😀😀usisahau kuja na kadi ya chamaWala hatuhitaji kujua ujinga jinga wa watu wa maporini ambao bado wanaoishi maisha ya kinyaninyani kwenye karne ya Akili Unde yenye akili kuzidi binadamu wa kawaida.
Wameleta machoko au wao ndio machoko?Makebo kama makebo njoo huku Lumumba wameshaanza kugawa posho kwa ajili ya kazi ya jumatatu😀😀usisahau kuja na kadi ya chama
Hii pembezoni mwa lake Nyasa?Kabila langu kumpikia mgeni chakula au kwenye sherehe kuweka menu bila kisamvu cha karanga/mawese unaonekana mchoyo.
Hapana! Hiyo pembezoni ni kabila ganiHii pembezoni mwa lake Nyasa?
Makabila ya Ruvuma wale Wamatengo na Wanyasa.Hapana! Hiyo pembezoni ni kabila gani
Nimekaa na wanyasa sikuona kama wana chakula maalum.Makabila ya Ruvuma wale Wamatengo na Wanyasa.
Huko kwetu ilikuwa kula ugali ni dalili ya umasikini na maisha kuwachapa sana. Ila kwa sasa ugali na wali ndio kimbilio migomba imenyauka ndizi bei hazishikiki kwa sasa watoto wa kizazi hiki wanapenda ugali kuliko ndizi maana wameuzoea.View attachment 3664234
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!
1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂
2. Kupika dagaa wana vichwa..
3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa sangara..ilikuwa dalili ya umaskini wa kutupwa
4. Kwenye sherehe watu kula na maharage bila kaugali na nyama 🤣😂 hii itaingia kwenye rekodi ya sherehe mbaya 😂🤣
5. Kumuuliza mgeni kama hajala umpikie.... aisee atasimuliwa na kutangazwa kijiji kizima
6. Mwanaume kuuliza mke wake kama ile mboga aliyoleta asubuhi imekwisha... hii ilikuwa dalili ya gubu na uchoyo 😂🤣
7. Kula maharage kama mboga... maharage yalikuwa yanaliwa kama snacks tu wakati mnasubiria chakula 🤣😂
Hebu tuambie huko kwenu ni mambo gani mtu alikuwa akifanya anaonekana wa ajabu...!?
Id yako inasafifu uwezo wako wa kufikiri.Makebo.Wala hatuhitaji kujua ujinga jinga wa watu wa maporini ambao bado wanaoishi maisha ya kinyaninyani kwenye karne ya Akili Unde yenye akili kuzidi binadamu wa kawaida.
Aiseee kwa Dar ni kawaida sana.View attachment 3664234
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!
1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂
2. Kupika dagaa wana vichwa..
3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa sangara..ilikuwa dalili ya umaskini wa kutupwa
4. Kwenye sherehe watu kula na maharage bila kaugali na nyama 🤣😂 hii itaingia kwenye rekodi ya sherehe mbaya 😂🤣
5. Kumuuliza mgeni kama hajala umpikie.... aisee atasimuliwa na kutangazwa kijiji kizima
6. Mwanaume kuuliza mke wake kama ile mboga aliyoleta asubuhi imekwisha... hii ilikuwa dalili ya gubu na uchoyo 😂🤣
7. Kula maharage kama mboga... maharage yalikuwa yanaliwa kama snacks tu wakati mnasubiria chakula 🤣😂
Hebu tuambie huko kwenu ni mambo gani mtu alikuwa akifanya anaonekana wa ajabu...!?
wewe ***** punga kama wewe ndio una akili kufikiri umavimavi kama huuId yako inasafifu uwezo wako wa kufikiri.Makebo.
Hitimisho la jinsi ulivyo mjinga.wewe ***** punga kama wewe ndio una akili kufikiri umavimavi kama huu
Wasukuma wanaamini Dar es Salaam ni makao makuu ya nyumbani kwa shetaniAiseee kwa Dar ni kawaida sana.
Nimekuwa nikisoma reply zako kwenye post na thread za watu mbalimbali. Nilichojifunza kutoka kwako, twatakiwa kukisaidia vitu viwili,Wala hatuhitaji kujua ujinga jinga wa watu wa maporini ambao bado wanaoishi maisha ya kinyaninyani kwenye karne ya Akili Unde yenye akili kuzidi binadamu wa kawaida.